Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

Hisa za Vodacom had leo hii sjapata wakuzinunua hizo hisa nimeenda kwa mabroker wa DSE wananiambia hisa za Vodacom haziuziki

Sijui gawio gan mleta mada unasema wanatoa acha uongo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.
Hakika mkuu, Ina maana tuwe na moyo wa kupenda vizazi vyetu tulipe gharama kwa ajili ya kizazi Cha pili na ikiwezekana Cha tatu, watu wengi wanafikiria pesa za kuspend ovyo za wasanii wa mbele zimetafutwa Leo, wale ni wasanii waliozaliwa kwenye mataifa ambayo Babu zao walilipa gharama kubwa kabisa, na wao hawajainjoi hizo Raha zilizopo Leo, wao walitembelea magari ya wakati ule , ndege za wakati ule n.k hawakudhani Kuna siku mtu ataendesha gari yenye t.v ndani,
 
Hapo 50M inakupa 4m kwa miezi mitatu, toa 10% ya Jamhuri unachukua 3.6m sawa na 1.2m kwa kila mwezi bila kelele. Ukiwa na 100M unachukua 8M kwa miezi mitatu toa 10% ya Jamhuri unabika 7.2M sawa na 2.4M kwa kila mwezi, yaani unalala na kuamka saa sita mchana
Acha mawazo uvivu, ukiwa na pesa ndio usingizi hauji. Pesa nyingi huondoa muda wa kupumzika.
 
Huu ni uvivu wa kufikiria kwa 100%, kwa mtaji wa 50M unaweza kutengeneza mpka 5M per month as Net profit
Nimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
 
Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.

Uwekezaji wa mtu anaeishi kwa dividends (gawio) sio wakitoto. Lazima iwe pesa ndefu. Tena ambayo hauna matumizi ya haraka. Na uwe na subira.
Gawio linaongezeka kadri ya muda unavyokwenda.

Mtu anaezika 10M au 30M kwa miaka 20 hana njaa.

Kama unajua upo kama The Monk shake well before use , jaribu kuwa unanunua hisa kidogo kidogo na uwe na consistency usiache, hapo baada ya muda ndio utaona manufaa yake.

Hata hivyo kwetu mambo ya stock, shares bado sana, elimu zaidi inahitajika.
Kuna watu wanavuna pesa zile T bills na Bonds za BoT. Ni kitu kizuri kuwajengea msingi watoto kwenye haya mambo wasije kurudia makosa yetu sie ambao jua linazama.
 
Ila hisa ni nzuri kuliko bond.
Hisa lazima uwe na elimu ya uwekezAji otherwise umtumie certified financial advisor aka cfa huko nje wako kabisa. Akushauri stocks za kununua.
Ila bonds hazihitaji elimu kubwa Sana.
Mfano jiwe angewepo ma ungejua Sera ya nchi mtu unanunua hisa za air Tanzania later huko after 50yrs tuna ndege Kama Emirates or klm Kama sio air Lufthansa.
Check mfano hizo za Amazon now twenty years,Ila bond bado Sana zitasubiri kwa stocks or kwa trading.

Unaongeleaje impact ya share na bond hasa pale shirika/ kampuni inpofanya vibaya na bei ya hisa zake kushuka?
 
Bond haupati hasara labda inflation Ila shares shirika likifanya vibaya hisa value zinashuka

Hicho ndio nililenga kwamba waambie wakati wanafurahia Amazon, vile vile inawezatokea wakala hasara kutokana na mwenendo kampuni ulizonunua share/ hisa.
 
Nimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
umenifanya nijute mjengo wangu wa 40m mwaka sasa sijaupangisha. kodi ndogo naona bure niweke mlinzi tu. Hii ni ya kufanyia kazi aisee
 
Hicho ndio nililenga kwamba waambie wakati wanafurahia Amazon, vile vile inawezatokea wakala hasara kutokana na mwenendo kampuni ulizonunua share/ hisa.
Ila mkuu kila biashara ama kazi ama kila kitu ni risk na usitake risk Bora ukae tu usifanye chochote. Life is a poker.
Good outcome doesn't depend good decision. Waweza kuwa na bad decision ukaishia kupata outcome nzuri,pia waweza kuwa na good decision ukaishia kuwa na bad outcome.
So don't try to be deceived by hindsight decision
 
Nijuzeni walionunua HISA za VODA kama wamepata gawio kiasi gani na je zimepanda bei?
 
Ila mkuu kila biashara ama kazi ama kila kitu ni risk na usitake risk Bora ukae tu usifanye chochote. Life is a poker.
Good outcome doesn't depend good decision. Waweza kuwa na bad decision ukaishia kupata outcome nzuri,pia waweza kuwa na good decision ukaishia kuwa na bad outcome.
So don't try to be deceived by hindsight decision

Absolutely! But you have to provide the opinions objectively, unbiased.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom