Hela noma wakuu, Trump kalainika Kweli kwa Waarabu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,390
Achana na hela, yaani Trump kalainika kinoma, hasa akifikiria kuna dili la dola bil 100 mezani kutoka kwa Waarabu. Ukimwangalia usoni yaani hata hataki kabisa kusikia jina Khashoggi .Waarabu wanajua hela ndio kila kitu.
Lakini tuseme ndio labda kwa bahati mbaya mzee baba Magu angepita na Nyaningabu au Mange kwenye viunga vya Los Angeles sasa hivi tungekuwa tuna vikwazo karibia mia labda hata makombora yangekuwa yanafanya warm up .
 
Trump anataka kweli kumwokoa prince,tatizo wamarekani wamekomaa,undefinedtena sasa ulaya ndo wameyakataa maelezo ya saud kwamba ,it is an insult to our intelligence,wanataka mwili wa kashoggi,saud wakifikiria walivyoukata mapingili pingili eti wanadai hawajui uliko,undefinedfrance na germany wanasema saud lazima iwajibike
 
Trump amesema hatamuwekea vikwazo vya kutokumuuzia silaha,kwasababu kufanya hivyo ni kama kujiadhibu marekani yenyewe.kwahio wametumia "exeptiolism police" ili waendeleze "protectionism economy" kwasababu usipomuuzia china na russia wa take cover...lakini bado akadai hawezi kupoteza mahusiano kwasababu anahongwa(bribe) mil $100 kila mwaka.na mwanae wa kike anachangiwa pesa(charity) na Mohammed bin Salman Alsaud kwa sababu mumewe wa huyo demu anaurafiki na Mo..kwa kipindi cha utawala wa Trump pekee Saudi Arabia imeshanunua silaha zenye thamani Tsh trilion 950.
 
Mkwe wa Trump ni kijana wa kiyahudi aitwae Gerald kuchner,huyu kijana alikuwa anakaribia kufiriska,waarabu wakamjaza mapesa,sasa yeye ana mawasiliano ya moja kwa moja na MBS,wanawasiliana kwa wasapu,wamarekani wanashituka gerald kushner anaweza kuuza siri za nchi kwa waarabu,wanataka aondolewe Security clearlence,huyu kijana na mkewe ndo wanamwendesha Trump wanavyotaka
 
MBS ameikamata marekani kama kwa upande wa sera za ulinzi za saudi.kwanza kwa kujiweka karibu na Izrael,vita ya Yemen ingawa mafanikio ni madogo,kupunguza msimamo wa uislam,mgogo wa Qatal na kuwakamata kuwafunga royal family ambao walifanya ufisadi wa kupindukia mpaka wakawa ma"B"..kumbuka marekani imemuwekea vikwazo Iran na amemwambia mpaka arudi kwenye 'zero' export na nafasi hio ichukuliwe na Saudi..tayari tetesi zinatonya kwamba Saudi Arabia inampango wa kumuondoa King Salman bin Abdulaziz ili kuipa heshima kofia ya ufalme duniani.kumbuka Kashoggi ni royal family.kwahio utawala wa Salman unatwangwa nyuma na mbele
 
Trump amesema hatamuwekea vikwazo vya kutokumuuzia silaha,kwasababu kufanya hivyo ni kama kujiadhibu marekani yenyewe.kwahio wametumia "exeptiolism police" ili waendeleze "protectionism economy" kwasababu usipomuuzia china na russia wa take cover...lakini bado akadai hawezi kupoteza mahusiano kwasababu anahongwa(bribe) mil $100 kila mwaka.na mwanae wa kike anachangiwa pesa(charity) na Mohammed bin Salman Alsaud kwa sababu mumewe wa huyo demu anaurafiki na Mo..kwa kipindi cha utawala wa Trump pekee Saudi Arabia imeshanunua silaha zenye thamani Tsh trilion 950.
Trillions 950???
 
Hela kitu hatari mkubwa, uliza ya Yuda Iskariote, Mwenyekiti wa Kudumu wa chama kinzani, n.k. n.k. ..
Hela ndiyo sababu ya madhambi yote Duniani, hili Binadamu hatuwezi kulikwepa milele...
 
MBS ameikamata marekani kama kwa upande wa sera za ulinzi za saudi.kwanza kwa kujiweka karibu na Izrael,vita ya Yemen ingawa mafanikio ni madogo,kupunguza msimamo wa uislam,mgogo wa Qatal na kuwakamata kuwafunga royal family ambao walifanya ufisadi wa kupindukia mpaka wakawa ma"B"..kumbuka marekani imemuwekea vikwazo Iran na amemwambia mpaka arudi kwenye 'zero' export na nafasi hio ichukuliwe na Saudi..tayari tetesi zinatonya kwamba Saudi Arabia inampango wa kumuondoa King Salman bin Abdulaziz ili kuipa heshima kofia ya ufalme duniani.kumbuka Kashoggi ni royal family.kwahio utawala wa Salman unatwangwa nyuma na mbele
'King salaman'...ni masalio ya israel &CIA akitoka marekani ndo wametaka.
 
Source yako ni ipi?kwa mujibu wa aljazeera alisema Congress inaweza kuingilia na kuwekwa vikwazo.Ila yote kwa yote Saudi watajaribu kumwangushia lawama mtu yeyote kama mbuzi wa kafara.
Sahau kwamba wanaweza kufanya hilo dhidi ya Saudi Arabia
 
Source yako ni ipi?kwa mujibu wa aljazeera alisema Congress inaweza kuingilia na kuwekwa vikwazo.Ila yote kwa yote Saudi watajaribu kumwangushia lawama mtu yeyote kama mbuzi wa kafara.
Saudia ni usa kama mwisraeli tu walahi
 
Acheni Mwenye Enzi Mungu aitwe Mungu walahi
Wapiuuzi wagagagigikoko waende usa kuomba msaada wa suluhisho nchini kwao!
Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone walahi
 
ingekuwa hayo matendo yamefanyika nchi nyingine ungesikia sasa hivi marekani anaitisha vikwazo ila kwa sababu amefanya mshirirka wake ndio maana usa yuko kimya
 
Achana na hela, yaani Trump kalainika kinoma, hasa akifikiria kuna dili la dola bil 100 mezani kutoka kwa Waarabu. Ukimwangalia usoni yaani hata hataki kabisa kusikia jina Khashoggi .Waarabu wanajua hela ndio kila kitu.
Lakini tuseme ndio labda kwa bahati mbaya mzee baba Magu angepita na Nyaningabu au Mange kwenye viunga vya Los Angeles sasa hivi tungekuwa tuna vikwazo karibia mia labda hata makombora yangekuwa yanafanya warm up .
Lakini Saudi Arabia imeshakiri kuwa Mohamed Bin Salman Jamal Khashogi aliuawa na maafisa wa ubalozi wao huko Uturuki wakisingizia ni baada ya kutokea ugomvi baina yake na wao. Unakumbuka Khashogi alienda kwa ajili ya kuomba kibali cha kufunga ndoa akiwa na mpenzi wake lakini mpnz akasubiri nje bila kutokea Khashogi.

Jamaa alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Kifalme huko kwao. So inasemekana amri ilitoka kwa mwanamfalme auawe mara moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom