Heko Zain kwa kupendezesha mazingira ya barabara zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heko Zain kwa kupendezesha mazingira ya barabara zetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bazobonankira, Mar 30, 2010.

 1. Bazobonankira

  Bazobonankira Senior Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi karibuni nilishuhudia Zain wakiwa wanapanda miti (nadhani hizi ni Washington palms kuanzia pale lilipo jengo lao jipya makutano ya Morroco kuelekea Namanga.

  Hakika hizi ni jitihada za kupongezwa kabisa! Hakika miti ile ikikua itakuwa imefanya barabara hiyo kuwa na mandhari ya kuvutia mno.

  Huu ni mfano wa kuigwa na wawekezaji pamoja na wazawa kwa maeneo yote aidha tunayoishi au kufanyia biashara karibu.
   

  Attached Files:

 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mmm! mbona kama imekaa kibiziness zaidi.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ni sehemu ya MCHORO wa jengo lao jipya -
  American Palms katikati ya Barabara "FINYU" kama ile?
  NO added value!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hii iko ki kiashara zaidi
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wametumia 10mil kupanda hiyo mipalm?:eek:
   
Loading...