Heko wanajangwani kwa kuchagua viongozi wanaojielewa

prof Mose

Member
May 10, 2019
27
45
Kwa wafuatiliaji wa huu mchezo wetu pendwa wa soka, watakubaliana na Mimi kuwa tangu yanga wapate uongozi mpya kumekuwa na utulivu wa Hali ya juu huku utekelezaji kwa vitendo kwa Yale waliyo yaahidi ukionekana.
Nafikiri msimu ujao wapinzani wajiandae kisaikolojia maana pamoja na Hali mbaya kiuchumi na bila uongozi madhubuti msimu ulio pita still walionesha ushindani na nusu wachukue ubingwa.
Heko kwa mheshimiwa Sana! chifu! Papaa Mwinyi Zahera 'mukubwa kabisaa'
IMG-20190606-WA0012.jpeg
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
kuna threads hapa ukifufua zilikuwa zinalaumu sana tff na mwakyembe kwa kuwaambia jamaa ni lazima wafanye uchaguzi leo wanafurahia.maajabu haya
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Uchaguzi wa Mwakyembe usingeleta VIONGOZI hawa! Note wote walioingia kwenye mchakato wa kwanza wa uchaguzi ulioongozwa na MWAKYEMBE chini ya TFF hawakuchaguliwa! Go figure!
aisee jangwani you really need to grow up acheni utoto kwa kweli,kha siyo kwamba mlikuwa mnasubiri manji arudi kama alivyosema mkuchika?
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,896
2,000
kuna threads hapa ukifufua zilikuwa zinalaumu sana tff na mwakyembe kwa kuwaambia jamaa ni lazima wafanye uchaguzi leo wanafurahia.maajabu haya
Yanga ilichokuwa inapinga ni kufanyika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya Manji kabla ya muda wa uongozi haujaisha
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
14,300
2,000
Japo nilikuwa front na Mwalimu wangu Tiboroha Jonas tukizunguka ktk matawi,ila Msolla ameonyesha njia nzuri na inaonyesha dalili njema kwa Yanga yetu
 
nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,051
2,000
Kwa wafuatiliaji wa huu mchezo wetu pendwa wa soka, watakubaliana na Mimi kuwa tangu yanga wapate uongozi mpya kumekuwa na utulivu wa Hali ya juu huku utekelezaji kwa vitendo kwa Yale waliyo yaahidi ukionekana.
Nafikiri msimu ujao wapinzani wajiandae kisaikolojia maana pamoja na Hali mbaya kiuchumi na bila uongozi madhubuti msimu ulio pita still walionesha ushindani na nusu wachukue ubingwa.
Heko kwa mheshimiwa Sana! chifu! Papaa Mwinyi Zahera 'mukubwa kabisaa' View attachment 1120276
Kwenye Hilo bango lako wachezaji wapya ni 7, wazamani 4 unategemea ufanye vizuri Kwa timu hii msimu ujao?? Unaumwa wewe, ¾ ni wapya usitegemee chochote! Atleast 2 to 3 years ndio utegemee ubora kwenye hii timu.
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,589
2,000
Kwenye Hilo bango lako wachezaji wapya ni 7, wazamani 4 unategemea ufanye vizuri Kwa timu hii msimu ujao?? Unaumwa wewe, ¾ ni wapya usitegemee chochote! Atleast 2 to 3 years ndio utegemee ubora kwenye hii timu.
Simba mwaka huu wamechukua ubingwa wakiwa na wapya wangapi?
 
prof Mose

Member
May 10, 2019
27
45
Kwenye Hilo bango lako wachezaji wapya ni 7, wazamani 4 unategemea ufanye vizuri Kwa timu hii msimu ujao?? Unaumwa wewe, ¾ ni wapya usitegemee chochote! Atleast 2 to 3 years ndio utegemee ubora kwenye hii timu.
Tulia mzee baba huo ni mwanzo tu, time will tell! Hiyo ni sehemu tu ya kikosi kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom