Heko TANESCO.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
uploadfromtaptalk1355557311128.jpg
TANESCO wamemaliza kazi na kuelekea eneo jingine la kazi.
 
tutaunda tume ya kuchunguza ni fundi gani walihusika,kisha tutaunda kamati ya kuamua adhabu gani itolewe,majibu yatakapotoka,tutaunda kamati nyingine ya kupitisha adhabu na kupeleka swala mahakamani
 
hapana hiyo nguzo ndo ilivyo inaswing kama kibendera cha kona usishangae ukaiona imeswing the otherside TANESCO HOYEEEEEEEEEE TWIGA HOYEEEEEEEEE TUME NA KAMATI HOYEEEEEEEEEEEEE ASANTENI NDUGU WANANCHI
 
"Wala msiwe na wasiwasi nawahakikishia kuwa mgao wa umeme utakuwa historia" Wadanganyika kwa kweli tumefanywa makatuni.
 
tutaunda tume ya kuchunguza ni fundi gani walihusika,kisha tutaunda kamati ya kuamua adhabu gani itolewe,majibu yatakapotoka,tutaunda kamati nyingine ya kupitisha adhabu na kupeleka swala mahakamani
Mweeeh!haya bana.
 
Halafu unaweza kuta maarifa hayo yamefanywa na wananchi tu.
 
wengi wanaweza wakawa walipita hapa lakini hawakugundua kitu na naamini aliyeliona hili na kulileta hapa ni great thinker hasa.
Hii inaonyesha wazi kuwa waliotangulia TANESCO walikuwa na upeo wa kuona angalau maili 60 mbele lakini hawa wa sasa sina uhakika kama wanaona hata maili moja!
 
Wanaunda Tume.., Na hadidu Za rejea walizopewa ni pamoja Na kuchunguza bending ability ya Egamo, Manunuzi ya Egano(kimti) Kama yalifuata kanuni zote Za procurement, nguzo itakapoanguka ni kadirio la watu wangapi watakufa ili kitengo Cha Maafa Ofisi ya Waziri mkuu wawili standby..ah.. Tume tume
 
Hao jamaa sasa hivi nawapongeza pamoja na mapungufu hayo mnayo yaona. Sasa hivi taa sisisi za serikali zimechapwa LUKU, sasa subiri mtaona kitakachofuata kuanzia January.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom