Heko TAKUKURU mwaka huu posho (rushwa) katika uchaguzi imedhibitiwa .

chameleon

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
555
170
Yaani bendera nyingi zinazopepea zimeangikwa kwenye kamba kama nguo kwenye miti na nguzo za umeme. Aidha picha za wagombea na mabango yapo juu ya miti na yamewekwa na vijana wanaolipwa na vyama vya siasa. Kwenye nyumba mitaani hakuna, vile/ yale (vijiwe) mashina ya wakereketwa hakuna. ni kama wananchi wa Tanzania hawana mpango tena au wamekata tamaa. Hiki ni kiashirio kuwa rushwa imedhibitiwa ingawa kuna viposho vya 2000 hadi 5000 kwa kinamama wa CCM na 10,000 kwa wamiliki wa nyumba wenye kukubali kuwekewa mabango.
 
Utasubiri sana
IMG_20200722_165416.jpg
 
Back
Top Bottom