Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,669
119,282
Wanabodi,
Kama nilivyowahi kushauri huko nyuma, mazuri tupongeze na mabaya tukosoe, hili ni bandiko la pongezi kwa Rais wetu mpendwa, Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli, kwa misimamo thabiti na isiyoyumbishwa na kelele za mitandao kuhusu mmoja wa wateule wake, mchapakazi hodari, mtu jasiri anayejituma kwa bidii, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kutuhumiwa na mitandao ya kijamii na mchungaji wa kanisa moja kuwa ni mhalifu, mwizi, ameiba jina la mtu mwingine, na pia amefoji vyeti!

Kitendo cha rais Magufuli, kupuuzia tuhuma hizi, fitna hizi, majungu haya, kinahitaji pongezi za dhati. Hapa rais Magufuli, anatufundisha somo la uthabiti na kushikilia msimamo bila kuyumba, ni moja ya sifa muhimu za kiongozi bora.

Rais wa nchi anatakiwa kuwa ni mtu wa msimamo imara na sio kusikiliza majungu!.
Tuhuma hizi ambazo ni za uzushi kumhusu Makonda ni pamoja na
1. Anatumia majina bandia -HiI ni misrepresentation ambayo ni kosa la jinai.
2. Kutumia jina la mtu mwingine ni impersonation ni kosa la jinai
3. Kumaliza darasa la saba na kujiunga sekondari ya serikali kwa nafasi na jina la mwingine aliyefaulu ni cheating ambayo pía ni kosa la jinai.
4. Kutumia majina ambayo sio uliopewa na wazazi wako ni disowning ambalo ni crime against mortality.
5. Kufeli kidato cha 4 kwa kupata Divisheni 0 kisha kujiunga na chuo kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine tena aliyefanya vizuri ni cheating ambalo ni kosa la jinai.
6. Kuhitimu shahada ya chuo kikuu wakati ulijiunga bila kuwa na sifa za kujiunga chuo kikuu ni misrepresentstion ni kosa la jinai litakalo pelekea kuvuliwa shahada.
7. Kuwasilisha vyeti vya mtu mwingine kwenye mamlaka za ajira ni forgery ambayo ni kosa la jinai.
8. Kwenda mahakamani kula kiapo chá kubadilisha jina kwa taarifa za uongo ni cheating ni kosa la jinai.
9. Kuwasilisha majina bandia mamlaka mbalimbali na kujipatia passport yenye majina bandia ni forgery ni kosa la jinai.
10. Kutumia majina bandia kuingia mikataba ya kisheria ukiwemo mikataba wa ndoa ni forgery ambayo ni kosa la jinai na pia ni kosa against morality hivyo kupelekea karma kuzuia baadhi ya neema za ndoa.

Rais Magufuli anafahamika kwa jinsi alivyo mkweli na mkali katika udanganyifu wa aina yoyote na kufanya vitendo bila kuchelewa kama alipoyasikia ya Wilson Kabwe hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Anne Kilango pía hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Kitwangwa hatua ni pale pale na alipoyasikia ya Balozi Ombeni Sefue hatua ni pale pale hadi sisi wengine tulimsifu na kumpongeza kwa kufanana na Nyerere.

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!

Lakini sasa anapoyasikia haya ya "huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye" kwa nini rais Magufuli ameweka pamba masikioni?!. Watu wanajiuliza bila majibu!.

Sababu ni moja tuu, yote haya yanayolalamikiwa kwa mpendwa huyu ni uwongo, uzushi na majungu tuu yanayo shinikizwa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Nakupongeza sana rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa misimamo thabiti na isiyoyumba linapokuja suala la kutanguliza mbele maslahi ya umma dhidi ya maslahi binafsi ya mafisadi wa madawa ya kulevya na vibaraka wao wanaokesha kutwa kucha mitandaoni kukupigia kelele dhidi ya mteule wako mchapa kazi hodari Paul Makonda.

Zamani kabla ya uteuzi wako watu walifanyiwa vetting. Siku hizi vetting sii lolote sii chochote, maana hazisaidii kitu, kinachoangaliwa sasa ni utendaji tuu wa mtu wa sasa, majina yake halisi, elimu yake na background yake has nothing to do na utendaji wa mtu, awamu hii ya hapa kazi tuu, tunataka watendaji who can deliver, hivyo tunacho jali ni matokeo tuu, results na delivery na sio jina, sio cheti, sio background!. Hongera sana kwa hili.

Ulipo teau hukuteua majina, au hukuteua vyeti bali umeteua wachapa kazi. Sifa ya uchapakazi wao ndio kigezo cha kuteuliwa kwao, hivyo ikitokea ikathibitishwa pasi shaka kuwa Daudi Albert Bashite ndie Paul Christian Makonda, mtume kijana akaape upya mahakamani kutumia rasmi jina la Daudi Albert Bashite, kisha teungua mara moja uteuzi wa Paul Christian Makonda kama RC wa Dar es Salaam na hapo hapo mteue Daudi Albert Bashite awe Mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam hizi kelele ziishe!.

Hizi kelele zimezidi hadi wamejitokeza watu wanakubeza kuwa wewe rais wa nchi sii lolote sii chochote mbele yao!, wao ni zaidi ya rais wa nchi!, na wamefikia hadi kukuamuru lazima umtumbue mpendwa wako, usiwasikilize, na sio tuu uendelee kuwapuuza, kwa sababu hizi ni kelele tuu za mlango, haziwezi kunyima usingizi mwenye nyumba, bali ikibidi, washughulikie!.

Ila pia lazima tuukubali ukweli, japo kelele za mlango haziwezi kunyima mwenye nyumba usingizi, lakini kelele hizi zikizidi sana zinakuwa kero, just imagine kelele za mlango usiku kucha akiingia huyu mara ametoka huyu mara ameingia huyu kama zile guest za uswazi za short time zisizo na silingbodi kwenye maeneo ya night clubs mtu ni mgeni umetoka zako mikoani, hujui, kiukweli hulali!. Utakosa usingizi sio kwa kelele tuu za mlango!.

Kwa sasa hizi kelele kumhusu mteule wako huyu kiukweli zimezidi na zinageuka kero, kama anapata usingizi wa amani na wewe unalala kwa amani, nyie ni mashujaa, ila zikizidi nakushauri kwa vile uliwahi kutamani kuwa IGP, kama vipi unaweza kujifanya IGP tuu ukawatia ndani hawa wapiga kelele wote watuondolee mikelele yao tupate usingizi wa amani.
Ila ikitokea kwako rais Magufuli, pamba za masikioni zikalegea, na sauti za kelele hizi zikapenya, ukazisikia na ukaamua kuzifanyia kazi kelele hizi na kuzifanyia uchunguzi, nakuomba sana umtendee haki Makonda kwa sababu hayuko peke yake anayetumia majina bandia ambayo sio majina yake halisi. Kwa haraka haraka wako mawaziri wako watatu ambao wote ni wanachama wa mtandao huu wa JF, nao pia hawakufaulu darasa la saba na wakasomea majina ya watu wengine ambayo wanayatumia hadi leo. And to be fair, clean and just, itisha vyeti vya shule ya msingi vya wateule wako wote, utashangaa!.

Kwenye hili la majina bandia, kwa vile wote ni watendaji wazuri, fanya kama alivyofanya rais Kikwete kwa mafisadi wa EPA, toa msamaha wa jumla kwa wote waliotumia majina ya bandia au majina ya wengine, waende tuu wakaape upya kwa majina yao halisi, kisha tengua teuzi zao za majina ya bandia na kuwateua tena kwa majina mapya, hakuna haja ya kuapa upya kwa sababu aliyeapishwa ni mtu yule aliyetamka "mimi" ile fulani bin fulani it's immaterial.

Hivyo nawaomba wana jf wenzangu tuungane nami kumpongeza rais wetu Magufuli kwa misimamo thabiti ya kutoyumbishwa na kelele za mitandaoni.

Jumanne njema.

Paskali
 
Wanabodi,

Ila pia lazima tuukubali ukweli, japo kelele za mlango haziwezi kunyima mwenye nyumba usingizi, lakini kelele hizi zikizidi sana zinakuwa kero, just imagine kelele za mlango usiku kucha akiingia huyu mara ametoka huyu mara ameingia huyu kama zile guest za uswazi za short time zisizo na silingbodi kwenye maeneo ya night clubs mtu ni mgeni umetoka zako mikoani, hujui, kiukweli hulali!. Utakosa usingizi sio kwa kelele tuu za mlango!.

Jumanne njema.
Paskali
Siku hizi umebadili gia angani mkuu hongera sana.
 
Kaka, Msomi mwenzangu Pascal Mayalla, mitandao hujenga na kubomoa. Mitandao huibua na kufunika. Mitandao huanzisha na kumaliza. Mitandao hushtaki, kutoa nafasi ya kujitetea na kuhukumu. Mitandao ni nchi inayojitegemea, si ya kuibeza hata kidogo. Ujumbe wako umefika kama unavyotaka ufike.
 
Wanabodi,
Kama nilivyowahi kushauri huko nyuma, mazuri tupongeze na mabaya tukosoe, hili ni bandiko la pongezi kwa Rais wetu mpendwa, Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli, kwa misimamo thabiti na isiyoyumbishwa na kelele za mitandao kuhusu mteule wake mmoja kutuhumiwa na mitandao kuwa...
1. Anatumia majina bandia -HiI ni misrepresentation ambayo ni kosa la jinai.
2. Kutumia jina la mtu mwingine ni impersonation ni kosa la jinai
3. Kumaliza darasa la saba na kujiunga sekondari ya serikali kwa nafasi na jina la mwingine aliyefaulu ni creating ambayo pía ni kosa la jinai.
4. Kutumia majina ambayo sio uliopewa na wazazi wako ni disowning ambalo ni crime against mortality.
5. Kufeli kidato cha 4 kwa kupata Divisheni 0 kisha kujiunga na chuo kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine tena aliyefanya vizuri ni cheating ambalo ni kosa la jinai.
6. Kuhitimu shahada ya chuo kikuu wakati ulijiunga bila kuwa na sifa za kujiunga chuo kikuu ni misrepresentstion ni kosa la jinai litakalo pelekea kuvuliwa shahada.
7. Kuwasilisha vyeti vya mtu mwingine kwenye mamlaka za ajira ni forgery ambayo ni kosa la jinai.
8. Kwenda mahakamani kula kiapo chá kubadilisha jina kwa taarifa za uongo ni cheating ni kosa la jinai.
9. Kuwasilisha majina bandia mamlaka mbalimbali na kujipatia passport yenye majina bandia ni forgery ni kosa la jinai.
10. Kutumia majina bandia kuingia mikataba ya kisheria ukiwemo mikataba wa ndoa ni forgery ambayo ni kosa la jinai na pia ni kosa against morality hivyo kupelekea karma kuzuia baadhi ya neema.

Rais Magufuli anafahamika kwa jinsi alivyo mkweli na mkali katika udanganyifu wa aina yoyote na kufanya vitendo bila kuchelewa kama alipoyasikia ya Wilson Kabwe hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Anne Kilango pía hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Kitwangwa hatua ni pale pale na alipoyasikia ya Balozi Ombeni Sefue hatua ni pale pale hadi sisi wengine tulimsifu na kumpongeza.

Lakini sasa anapoyasikia haya ya "huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye" kwa nini rais Magufuli ameweka pamba masikioni?!.

Sababu ni moja tuu, yote haya yanayolalamikiwa kwa mpendwa huyu ni uwongo, uzushi na majungu tuu yanayo shinikizwa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Nakupongeza sana rais Magufuli kwa misimamo thabiti na isiyo yumba linapokuja suala la kutanguliza maslahi ya umma dhidi ya mafisadi wa madawa ya kulevya.

Zamani kabla ya uteuzi wako watu walifanyiwa vetting. Siku hizi vetting sii lolote sii chochote, bali utendaji wa mtu na delivery.

Ulipo teau hukuteua majina, au hukuteua vyeti bali umeteua wachapa kazi. Sifa ya uchapakazi wao ndio kigezo cha kuteuliwa kwao, hivyo ikitokea ikathibitishwa pasi shaka kuwa Daudi Albert Bashite ndie Paul Christian Makonda, mtume kijana akaape upya mahakamani kutumia rasmi jina la Daudi Albert Bashite, kisha teungua mara moja uteuzi wa Paul Christian Makonda kama RC wa Dar es Salaam na hapo hapo mteue Daudi Albert Bashite awe Mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam hizi kelele ziishe!.

Hizi kelele zimezidi hadi wamejitokeza watu wanakubeza kuwa wewe rais wa nchi sii lolote sii chochote mbele yao!, wao ni zaidi ya rais wa nchi!, na wamefikua hadi kukuamuru lazima umtumbue mpendwa wako, usiwasikilize, na sio tuu uendelee kuwapuuza, kwa sababu hizi ni kelele tuu za mlango, haziwezi kunyima usingizi mwenye nyumba.

Ila pia lazima tuukubali ukweli, japo kelele za mlango haziwezi kunyima mwenye nyumba usingizi, lakini kelele hizi zikizidi sana zinakuwa kero, just imagine kelele za mlango usiku kucha akiingia huyu mara ametoka huyu mara ameingia huyu kama zile guest za uswazi za short time zisizo na silingbodi kwenye maeneo ya night clubs mtu ni mgeni umetoka zako mikoani, hujui, kiukweli hulali!. Utakosa usingizi sio kwa kelele tuu za mlango!.

Kwa sasa hizi kelele kumhusu mteule wako huyu kiukweli zimezidi na zinageuka kero, kama anapata usingizi wa amani na wewe unalala kwa amani, nyie ni mashujaa, ila zikizidi nakushauri kwa vile uliwahi kutamani kuwa IGP, kama vipi unaweza kujifanya IGP tuu ukawatia ndani hawa wapiga kelele wote watuondolee mikelele yao tupate usingizi wa amani.

Ila ikitokea ukaamua kujifanyia kazi kelele hizi na kujifanya uchunguzi, nakuomba sana umtendee haki Makonda kwa sababu hayuko peke yake anayetumia majina ambayo sio yake. Kwa haraka haraka wako mawaziri wako watatu ambao wote ni wanachama wa mtandao huu wa JF, nao pia hawakufaulu darasa la saba na wakasomea majina ya watu wengine ambayo wanayatumia hadi leo.

Kwenye hili la majina bandia, kwa vile wote ni watendaji wazuri, fanya kama alivyofanya rais Kikwete kwa mafisadi wa EPA, toa msamaha wa jumla kwa wote waliotumia majina ya wengine, waende wakaape upya kwa majina yao halisi, kisha tengua teuzi zao za majina ya bandia na kuwateua tena kwa majina mapya, hakuna haja ya kuapa upya kwa sababu aliyeapishwa ni mtu yule aliyetamka "mimi" ile fulani bin fulani it's immaterial.

Hivyo nawaomba wana jf wenzangu tuungane nami kumpongeza rais wetu Magufuli kwa misimamo thabiti ya kutoyumbishwa na kelele za mitandaoni.
Jumanne njema.
Paskali
walimu wetu mliohakiki vyeti vyao na kuona majina yao sio na kuwatemesha kazi zao bila kuwalipa chochote, muwarejeshe, la sivyo tutaonana 2020
 
Wizara ya ardhi kupitia Msajiri wa hati,ina jukumu la kusajiri "DEED POLL", hati za kubadilisha jina,na baada ya kuzisajiri,hulazimika kutangaza usajiri huo wa mabadiliko ya jina katika gazeti la serikali " GOVERNMENT GAZZETTE "

Hati hii huonyesha jina la zamani,na jina jipya la muhusika.

Tunataraji waziri lukuvi pia atakuwa sehemu ya mawaziri ambao watalitolea tamko suala hili,na maofisa wake waanze kupekua kumbukumbu husika na pia TCU,Vyuo vya uvuvi Nyegezi,Mbegani,Chuo cha Ushirika Moshi,

Pia UVCCM ambako aliwahi kuajiriwa,Wizara ya Utumishi wa Umma ambao alipata ajira ya Mkuu wa Wilaya,na sasa Ukuu wa Mkoa wasaidie kwa kuwa watakuwa na nyaraka zote.

Pia Wizara ya elimu kupitia NECTA wasilale usingizi,waandae nyaraka hizi.

Pia kamishna qa kiapo aliyemuapisha pia ajiandae kisaikolojia kufafanua jinsi muhusika alivyokuja kwake,na lengo lake la kubadili jina
 
Mayala maana yake ni njaa, huyu tayari keshanunuliwa, anatumia style ya " mixed Signals" ili kutuhadaa hapa JF, wakati kumbe anatetea upuuzi through confusing the subconscious minds.

Katika uandishi wa namna hii, msimamo wa mwishoni mwa makala ndo huwa lengo la mwandishi na siyo ule wa mwanzoni mwa makala, lakini mwandishi anatuhadaa hapa kwa kuwa anajua hapa JF tutamshukia kama mwewe akijireveal wazi.

Hii technique ya huyu jamaa ni kubuild the domino and destroy them
 
Wanabodi,
Kama nilivyowahi kushauri huko nyuma, mazuri tupongeze na mabaya tukosoe, hili ni bandiko la pongezi kwa Rais wetu mpendwa, Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli, kwa misimamo thabiti na isiyoyumbishwa na kelele za mitandao kuhusu mteule wake mmoja kutuhumiwa na mitandao kuwa...
1. Anatumia majina bandia -HiI ni misrepresentation ambayo ni kosa la jinai.
2. Kutumia jina la mtu mwingine ni impersonation ni kosa la jinai
3. Kumaliza darasa la saba na kujiunga sekondari ya serikali kwa nafasi na jina la mwingine aliyefaulu ni creating ambayo pía ni kosa la jinai.
4. Kutumia majina ambayo sio uliopewa na wazazi wako ni disowning ambalo ni crime against mortality.
5. Kufeli kidato cha 4 kwa kupata Divisheni 0 kisha kujiunga na chuo kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine tena aliyefanya vizuri ni cheating ambalo ni kosa la jinai.
6. Kuhitimu shahada ya chuo kikuu wakati ulijiunga bila kuwa na sifa za kujiunga chuo kikuu ni misrepresentstion ni kosa la jinai litakalo pelekea kuvuliwa shahada.
7. Kuwasilisha vyeti vya mtu mwingine kwenye mamlaka za ajira ni forgery ambayo ni kosa la jinai.
8. Kwenda mahakamani kula kiapo chá kubadilisha jina kwa taarifa za uongo ni cheating ni kosa la jinai.
9. Kuwasilisha majina bandia mamlaka mbalimbali na kujipatia passport yenye majina bandia ni forgery ni kosa la jinai.
10. Kutumia majina bandia kuingia mikataba ya kisheria ukiwemo mikataba wa ndoa ni forgery ambayo ni kosa la jinai na pia ni kosa against morality hivyo kupelekea karma kuzuia baadhi ya neema.

Rais Magufuli anafahamika kwa jinsi alivyo mkweli na mkali katika udanganyifu wa aina yoyote na kufanya vitendo bila kuchelewa kama alipoyasikia ya Wilson Kabwe hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Anne Kilango pía hatua ni pale pale, alipoyasikia ya Kitwangwa hatua ni pale pale na alipoyasikia ya Balozi Ombeni Sefue hatua ni pale pale hadi sisi wengine tulimsifu na kumpongeza kwa kufanana na Nyerere.Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!

Lakini sasa anapoyasikia haya ya "huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye" kwa nini rais Magufuli ameweka pamba masikioni?!. Watu wanajiuliza bila majibu!.

Sababu ni moja tuu, yote haya yanayolalamikiwa kwa mpendwa huyu ni uwongo, uzushi na majungu tuu yanayo shinikizwa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Nakupongeza sana rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa misimamo thabiti na isiyoyumba linapokuja suala la kutanguliza mbele maslahi ya umma dhidi ya maslahi binafsi ya mafisadi wa madawa ya kulevya na vibaraka wao wanaokesha kutwa kucha mitandaoni kukupigia kelele dhidi ya mteule wako mchapa kazi hodari Paul Makonda.

Zamani kabla ya uteuzi wako watu walifanyiwa vetting. Siku hizi vetting sii lolote sii chochote, maana hazisaidii kitu, kinachoangaliwa sasa ni utendaji tuu wa mtu wa sasa, majina yake halisi, elimu yake na background yake has nothing to do na utendaji wa mtu, awamu hii ya hapa kazi tuu, tunataka watendaji who can deliver, hivyo tunacho jali ni matokeo tuu, results na delivery na sio jina, sio cheti, sio background!. Hongera sana kwa hili.

Ulipo teau hukuteua majina, au hukuteua vyeti bali umeteua wachapa kazi. Sifa ya uchapakazi wao ndio kigezo cha kuteuliwa kwao, hivyo ikitokea ikathibitishwa pasi shaka kuwa Daudi Albert Bashite ndie Paul Christian Makonda, mtume kijana akaape upya mahakamani kutumia rasmi jina la Daudi Albert Bashite, kisha teungua mara moja uteuzi wa Paul Christian Makonda kama RC wa Dar es Salaam na hapo hapo mteue Daudi Albert Bashite awe Mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam hizi kelele ziishe!.

Hizi kelele zimezidi hadi wamejitokeza watu wanakubeza kuwa wewe rais wa nchi sii lolote sii chochote mbele yao!, wao ni zaidi ya rais wa nchi!, na wamefikua hadi kukuamuru lazima umtumbue mpendwa wako, usiwasikilize, na sio tuu uendelee kuwapuuza, kwa sababu hizi ni kelele tuu za mlango, haziwezi kunyima usingizi mwenye nyumba.

Ila pia lazima tuukubali ukweli, japo kelele za mlango haziwezi kunyima mwenye nyumba usingizi, lakini kelele hizi zikizidi sana zinakuwa kero, just imagine kelele za mlango usiku kucha akiingia huyu mara ametoka huyu mara ameingia huyu kama zile guest za uswazi za short time zisizo na silingbodi kwenye maeneo ya night clubs mtu ni mgeni umetoka zako mikoani, hujui, kiukweli hulali!. Utakosa usingizi sio kwa kelele tuu za mlango!.

Kwa sasa hizi kelele kumhusu mteule wako huyu kiukweli zimezidi na zinageuka kero, kama anapata usingizi wa amani na wewe unalala kwa amani, nyie ni mashujaa, ila zikizidi nakushauri kwa vile uliwahi kutamani kuwa IGP, kama vipi unaweza kujifanya IGP tuu ukawatia ndani hawa wapiga kelele wote watuondolee mikelele yao tupate usingizi wa amani.

Ila ikitokea ukaamua kujifanyia kazi kelele hizi na kujifanya uchunguzi, nakuomba sana umtendee haki Makonda kwa sababu hayuko peke yake anayetumia majina ambayo sio yake. Kwa haraka haraka wako mawaziri wako watatu ambao wote ni wanachama wa mtandao huu wa JF, nao pia hawakufaulu darasa la saba na wakasomea majina ya watu wengine ambayo wanayatumia hadi leo.

Kwenye hili la majina bandia, kwa vile wote ni watendaji wazuri, fanya kama alivyofanya rais Kikwete kwa mafisadi wa EPA, toa msamaha wa jumla kwa wote waliotumia majina ya wengine, waende wakaape upya kwa majina yao halisi, kisha tengua teuzi zao za majina ya bandia na kuwateua tena kwa majina mapya, hakuna haja ya kuapa upya kwa sababu aliyeapishwa ni mtu yule aliyetamka "mimi" ile fulani bin fulani it's immaterial.

Hivyo nawaomba wana jf wenzangu tuungane nami kumpongeza rais wetu Magufuli kwa misimamo thabiti ya kutoyumbishwa na kelele za mitandaoni.
Jumanne njema.
Paskali

we paskali wewe, yani umeng'ata na kupuliza, hahahaha watz bana
 
Naamini yule Pasco wa zamani asinge andika hivi ,ila baada ya kuwa Pasco Mayala uwoga umekuwa mwingi, ndiyo maana umeamua kutumia fasihi .Anayejua kaelewa nini unamaanisha .Asante Pasco kaka mkubwa ni Mpenzi wa Mungu atasikia
 
Back
Top Bottom