Heko Gazeti La Dira ya Mtanzania kwa kuvichua maovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heko Gazeti La Dira ya Mtanzania kwa kuvichua maovu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmaroroi, Nov 13, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Gazeti la Dira likuwa likifichua maovu katika sekta ya elimu.tuwaunge mkono ili tuutokomeze ufisadi katika Vyuo vya elimu ya juu na sekta nyingine ya elimu.Heko Gazeti la Dira kwa jitihada zenu.
   
 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mkuu,

  hebu tuwekee mojawapo ya makala hizo ili tukubaliane nawe!!!
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wewe ndiye Mhariri wa hilo Gazeti nini? Lipia tangazo kwa wenye jamvi
   
Loading...