Heko chadema!!!!

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Napenda kuwapongeza sana chama cha Chadema wana wanachama wachache sana ila wapo very active!
 
Napenda kuwapongeza sana chama cha Chadema wana wanachama wachache sana ila wapo very active!

Chadema kina wanachama ambao wanatambua pasipo na shaka kuwa kuunga mkono CCM ni kuunga mkono udanganyifu na upotoshaji.
 
mimi pia nawapongeza chadema maana wanajitambua na wana uchungu na nchi yetu,ni wazalendo wa kweli waliojitoa mhanga kwa ajili ya watanzania
 
chadema wanauelewa ukweli na ni wazalendo wasiyumbishwa wala kuatama mali za walalahoi................
 
Ni watetea haki katika jamii, na kama watetea haki, lazima kuwa na strong opposition from those are in power, and who are backed by those bought....Chadema uzi ni ule ule, and at the end of the day, faida si tu kwa wana chadema bali kwa nchi nzima. Tujipongeze, but tusiishie hapo, we must move forward.....na si kuwa distracted by anything or anyone
 
Back
Top Bottom