hekima za dk slaa kukubali matokeo tumeuona mwaka kwa amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hekima za dk slaa kukubali matokeo tumeuona mwaka kwa amani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Jan 1, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  busara na hekima za dk slaa hakika ni mungu alimuongoza tofauti na hapo yangekuwa mengine hv leo, lakini tunamuombea maisha marefu kama no mipango ya mungu basi iko siku atakuwa raisi wa watanzania
   
 2. B

  Baba Jose Senior Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mm mi angesema tulianzishe ningelianzisha,busara na hekima vilimsaidia ila 2015 kitaeleweka JK nae moto kauona kakubali katiba,cjui komban na werema wanajickiaje
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila siku zijazo kura yangu ikiibiwa sitakubali
   
 4. M

  Mnyagundu Senior Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amekubali lini matoke? Hadi leo ana ndoto ya kuibiwa! Hajawahi kukubali matokeo
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  huyu nae pia anaitwa ana hekima?

  mzinzi na mwivi wa wake za wenziwe ana hekima? au hili neno limepoteza asili yake ya kale?
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika tulianza maandalizi ila hekima zake hatimaye JK kafuata maelekezo yake japo sio 100 pct
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  He! kumbe kakubali? lini na wapi au atatangaza tarehe 5/01/11 huko Arusha kwamba ili 64% alikua anatania tu? kama ni kweli hongera zake maana atawaepusha vijana na virungu.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  natamani ungekuwa raia wa ivorycost
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyie acheni kupulizia perfume choo cha shimo! Wewe unaamini kabisa Slaa alishinda? Au unatamani tu angeshinda? Wabunge 21 kati ya mia mbili na zaidi? ushabiki ukifikia hapa unakuwa mzigo wa ujinga kama ule ule wa wana CCM wanao wapigia kura mafisadi kila siku! wake up man! Be real!
   
 10. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Bro... mzinzi na mwivi wa wake ni kinara wako Muddy
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli ni suala la kumshukuru mola kwa kuwaangazia wapinzani hulka ya kuwa torelant na vote rigging ya CCM.
  Otheriwise tungezichapa
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  taratibu unaanzisha bifu lisilo na tija
   
 13. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa ivi mimi siamini mtu, bora kuwe hakuna hata mmoja wao
   
 14. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  acha kuwa mwendawazimu, aliyekwambia kura za raisi zinaendaa na wabunge nani? ngoja nikupe mfano mdogo wewe mvivu kufikiri.
  Jimbo la Iringa mjini ameshinda mgombea wa Chadema mh. Msigwa, lakini madiwani karibu wa kata zote wametoka ccm, chadema imeshinda kata chache tu. mbona msigwa kashinda na ratio ya kata wameshinda ccm?
  kuwa na wabunge wachache sio kigezo. labda nao wamechakachuliwa tutajuaje mazingaombwe ya ccm, pili unajuaje wananchi walimchagua Slaa(PHD) kuwa raisi na wabunge wakawataka wa kwao kama kyela na kigoma?
  kuwa mwerevu mkuu, maeneo aliyoshinda dk wa ukweli ni most populated area in Tanzania sio sawa na kura za maeneo madogo madogo. Think big
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa tatizo la Jf hata mjinga ana haki ya kukosoa na kutoa mawazo hata yawe low kiasi gani. Kwa akili yako ndogo wadhani sijui kuwa kuna kura za urais TZ? Sasa kama kura za uraisi unadai zimechakachuliwa then unawezaje kujustify alleged victory? unaangalia uwiamo wa wabunge, hiyo ndio logic Laila Odinga alitumia kujenga hoja yake uchaguzi mkuu uliopita, nadhani ulikuwa bado unapiga kinanda junior seminary!
   
 16. M

  Mnyagundu Senior Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni changudoa wa kiume!
   
 17. M

  Mnyagundu Senior Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi SLAA anataka kutufanya wote wajinga tuamini alishinda uchaguzi! kwani ilikua anatakiwa akubali matokeo ndio tz iwe na amani! kijitu chenyewe hakina mbele wala nyuma umri ule bado ana mchumba!
   
 18. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Du! nafikiri next 5 yrs mambo yatajulikana nani alishinda au la!
   
 19. M

  Mnyagundu Senior Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakushinda bwana wewe usitake kutufanya wote wajinga na huyo Slaa wako
   
 20. M

  Mnyagundu Senior Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ndio logic ya msingi! wewe una wabunge 20 wenzako wana wabunge 200 na zaidi sasa hiyo ni tosha tu kuwa ni kipimo kuwa hakushinda! tuache ushabiki mahaba hapa! Slaa hakushinda!
   
Loading...