Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

nilahisi kukaanyuma ya kibodi kuelezea ubaya wafimbo lakini ukipita mitaani utakutana nakizazi kisicho na ndham wala hekima yote ssbabu yamapenzi yakipumbavu ya wazi mtoto unamwambia Mara ya kwanza hasikii yapili nayatatu hasikiitu hapo rafiki mzuri nikiboko wakati mwingine motto hufanya usumbufu makusudi ili a one utamfanya mini.ukimuacha nakesho anarudia weka fimbombali utengeneze Toto jinga.
 
Ndugu unachapa wako?
 
Nilitamani iwe hivyo lakini content yake ni pana sana,nikifupisha wengi wasingeelewa..tujitahidi kusoma tu
2 hii sikwa watoto wa kiafrica haswa wa kitanzania bila fimbo mambo hayaendi mm nilikuwa mtukutu
i nawashukuru wazee wangu juzi tu nimekswakoswa nan rungs na dingI
 
Back
Top Bottom