Uchaguzi 2020 Hekima na Busara za John Madale Shibuda: Kongamano la maombi na maridhiano ya amani leo Mjini Dodoma

Kuna msemo kwamba "sio kila mzee ana busara, kwasababu hata wahuni uzeeka".

Nahisi wapo waliosahau kwamba hata wahuni huzeeka.
Mkuu banaaa...

Sawa....

Kwa hiyo MHUNI kijana ama mzee HAWEZI akaongea neno la BUSARA hata Mara Moja?!!!!

Maana muda si mrefu Mla Unga Mmoja amenisave kunishtua kuwa Yuko kijana mwenzangu anakata Mkungu Wangu Wa Ndizi Hapo Nyuma...
 
Mkuu banaaa...

Sawa....

Kwa hiyo MHUNI kijana ama mzee HAWEZI akaongea neno la BUSARA hata Mara Moja?!!!!

Maana muda si mrefu Mla Unga Mmoja amenisave kunishtua kuwa Yuko kijana mwenzangu anakata Mkungu Wangu Wa Ndizi Hapo Nyuma...
Huyo alitaka umpe pesa, hakuwa akikusaidia. Au walikuwa pamoja naye huyo mla ndizi.
 
Msumbiji Hakukaliki...
Burundi Hakutamaniki...

Twende wapi sisi zaidi ya TANZANIA YETU YA AMANI?!!!

Ewe Mbowe
Ewe Maalim...

Hebu muidai tume huru kwa AMANI Halafu mtakutana Tena na CCM mwaka 2025 panapo UHAI aaamin.

Tumwachie JPM amalize hii miaka 5....

TANZANIA KWANZAAAAA!!
 
Ni mapema sana kukimbilia maridhiana sababu upande wa pili sidhali kama watakubali uchaguzi ulikuwa na mapungufu mengi.Inabidi wakubali kuwa uchaguzi ulikuwa na mapungufu ndio wakae chini pamaoja .Hata South Africa walipounda Truth and rencilliation commission makaburu walikubali wamefanya makosa
 
Back
Top Bottom