Naungana na watanzania wengine katika kulaani mauaji haya,Marehemu alikuwa kati ya wasomi wazuri sana,ana masters ya sheria,pia kuna fununu kuwa alikuwa amependekezwa kwenda kanda Maalumu ya Dar kuchukua nafasi ya ....,wengine wanahusisha ili na kifo chake.Pamoja na kuunga mkono hoja ya mwanakijiji lakini ni wakato mzuri wa polisi kutafakari upya uhusiano wa jeshi na raia kwa siku za karibuni,hii ni matokeo ya mbegu ya chuki iliyopandwa hivi karibuni na jeshi ilo kwa kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya raia na kwa kufanya kazi kisiasa,si siri raia wako so negative dhidi ya jeshi ilo.Said Mwema alikuwa na lengo zuri sana alipo introduce police jamii lakini lakini kutokana na maingiliano ya siasa kwneye uendeshaji wa jeshi ilo ameshindwa kutimiza azma yake.Sio wewe uliesema humu 'umetafuna' wake za watu saba?
sasa unashangilia nini hapa?
wewe ufanywaje na wenye wake?
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu nakuomba sana ufahamu tabia na hulka za binadamu kabla hujahukumu na kitu gani kinatakiwa kufanywa kwanza ili kuondoa nafasi ya mambo yanayoweza kutokea. wazungu wanasema mahala popote ambapo diplomacy imeshindikana basi fahamu ya kwamba upo uwezekano mkubwa wa vita hata kama swala limeanzishwa na mtu mmoja. Iraq ilishambuliwa kwa sababu ya mtu mmoja tu Saadam na walokufa ktk mashambuliszi hayo wameitwa nani Collateral damage. Mtu mmoja anaweza kabisa kuimaliza jamii nzima, hivyo hekima huanza na watu wenyewe kutofundishana shari.
Binafsi yangu husema kama kuna uwezekano wa kuepusha shari Je, kuna sababu gani ya kupuuza UPENDO lakini tuwe wepesi wa kulaani matokeo wakati mbegu tulizopanda ndizo chanzo na sababu ya matokeo hayo?. Kwa nini tusijifunze kutopanda mbegu chafu ambazo matokeo yake ndio haya..Hivi kweli wewe na wengineo mlitegemea Polisi wanaweza kuua na tukawalaani kwa maneno lakini wananchi wataendelea kuvumilia kuona mauaji yakiendelea na jeshi letu likijenga Chuki na uadui baina yake na wananchi?..
Kosa la kamuhanda linaweza kabisa kuchukua sura mpya ni lazima tujifunze haya, na hivyo kosa la mtoto alokojolea Msahafu linaweza kabisa kuzua vita baina ya Waislaam na Wakristu, kosa la Chadema linaweza kuzua vurugu kubwa baina ya wanachama wa CCM ana Chadema na kosa la Chadema linaweza kuzua vifo vya raia wengine wengi..
La muhimu kwetu sisi ni kujiuliza kama kuna umuhimu wa kuendeleza vitendo vyovyote kwa gharama hizi kubwa ambazo zinajenga chuki baina yetu. Kuna tatizo gani kwa serikali yetu, viongozi wa vyama na serikali na dini kufundisha UPENDO?.. kwa nini kila unapokwenda nchini siasa ni za CHUKI tu.. aidha viongozi kutupiwa mawe, makanisani na misikitini hakuna mafundisho ya upendo isipokuwa upande wa pili ni watu gani. Ukienda Msikitini Hotuba hazizungumzii hadithi za mtume isipokuwa SIASA za chuki, Ukienda makanisani vile vile, Ofisi za CCM na Vijana ni jinsi ya kuwasambaratisha Chadema. CUF ni Uzanzibar dhidi ya bara, JF ni waislaam against wakristu, CCM against Chadema, CUF agaisnt Chadema tena kwa matusi mazito mazito. Hi kweli ndio demokraisa au tunafanya madudu mengine?..Kweli mnategemea kuwepo na AMANI?..
Leo hii katika vyama vyetu wachungaji ndio wanagombea Ubunge, I mean mkuu wangu unategemea nini kutoka kwa mchungaji anayekwenda kanisani kufundisha dini wakati ni mwanasiasa mgombea Ubunge wa jimbo lake?.. halafu tunasema nchi yetu haina dini! huyu ni mbunge ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Waziri kama chama chake kitaingia madarakani..Kwa nini asiache kwanza Uchungaji kama alivyofanya Dr.Slaa na kujishughulisha na siasa lakini unakuta mtu anagombea Uongoz huku akifundisha Gospel makanisani na hata ktk majukwaa ya siasa. jamani tunatafuta nini kama sio kuitaka shari sisi wenyewe?..
mambo mengine jamani sina haja ya kuyazungumza sana lakini ukweli unabakia kwamba sisi wenyewe tunafundisha a chuki, sisi wenyewe ndio tunaochochea hizi CHUKI na HuSUDA ktk mfumo mzima wa siasa zetu na Utawala. Maana sioni tatizo kabisa kwa Polisi nchini kuwalinda wananchi kama walivyoapa badala yake wananchi ndio wanakuwa maadui zao kwa makosa yalofanywa na viongozi wao halafu tutegemee watu watakaa kimya tu....
Bushman, tunaomba hiyo picha ya huyo mwalimu aliyekuwa na kamanda, je ni mwanmme au mwanamke??? Ni wa CCM au Chadema???? Usichoke na maswali yangu, aulizaye anataka kujua!!!
Mheshimiwa mwanakijiji heshima kwako kwa uchambuzi uliotukuka lakini mzee mwanakiji jamii yetu saizi ndio imefikia hapo anakojolea KORAN mtoto wa dhehebu jingine yanachomwa makanisa ya dhehebu mengine sasa Mzee mwanakijiji labda wewe hujaona picha ya huyo mwl.ambayo alikwa na kamanda mtoto katokelezea kweli kamanda amekufa kishujaaa!!!!!!!!!
Nimesema juzi kuwa ukosefu wa hekima ni janga kubwa la kitaifa kwa kweli nilimaanisha hilo. Tangu habari za mauaji ya Kamanda Barlow yalipotokea mwitikio wa watu wengi umekuwa ni kutokujali, kuhalalisha na hata kushangilia ni kama mtu kusema "akome". Wengi wanahalalisha hili kwa sababu wanaamini ujumbe umetumwa kwa polisi na kuwa polisi 'wanaua watu na sasa kimewarudia'. Kauli hizi ndizo zinazothibitisha ukosefu wa hii hekima.Tumeshuhudia kosa la mtoto mmoja kwenda kuhukumiwa makanisa na wakristu; leo kosa la Kamuhanda anahukumiwa Barlow? Leo hii kosa la askari mmoja wanalaumiwa jeshi zima kiasi kwamba leo chochote kitakachompata polisi tunafurahia?
Ni lazima tujifunze kuwa na hekima ya kutofautisha kitu kinachoitwa "collective punishment" kwamba tunaadhibu wote kwa kosa la mmoja. Labda ni kwa sababu tunaamini (bila kufikiria sana) kuwa "samaki mmoja akioza wameoza wote". Ukweli ni kuwa samaki mmoja akioza siyo wote wameoza!
Kamanda Barlow ahukumiwe kwa matendo yake mwenyewe na si matendo ya wengine. Je alikuwa ni kamanda mzuri kwa polisi, je alisimamia haki na utawala wa kisheria kwa kadiri ya uwezo wake (yaani pamoja na mapungufu yake kama alivyoshughulikia hili la koswakoswa la afisa)? Je kuwa dhaifu kiutendaji adhabu yake ni mauti?
Tuna tofauti gani basi na wale ambao wanaona mtu anapigwa na watu kwa sababu kadaiwa ni 'kibaka' na wao bila kuuliza wanachukua jiwe na kurusha au wanauliza "lete petroli" halafu wanaondoka zao huku nyuma mtu anatiwa kiberiti? Tuna tofauti gani na jamii isiyoerevuka ambayo haitaki kutafuta ukweli inaishi kwa imani na hisia tu?
Mauaji ya Barlow kama yalaivyokuwa mauaji ya Mwangosi na ya wananchi wengine wengi yanapaswa kulaaniwa na siyo kuhalalishwa, yanastahili kupingwa na siyo kutetewa na yanahitaji kukataliwa na siyo kuzoeleka.
Ni wazi kuna mapungufu ya kiutendaji na mambo mengi ambayo hayajibu maswali yetu ndio maana wengine tulitaka maafisa wa juu wa jeshi hilo wang'olewe kwa sababu wameligeuza kuwa ni jeshi la kisiasa sasa. Inapofika watu wanaona jeshi la polisi ni la CCM au lisilo na ule ukaribu wa zamani na wananchi basi ni hatari kwa sababu hawatalipa ushirikiano na wakipata nafasi ya kuwatendea polisi wanawatendea! Mwema, Chagonja na wengine wajuu wanapaswa kuondolewa ili mabadiliko ya kweli ya jeshi yaletwe na watu wenye uwezo. Inapofika watu hawaoni huruma ya mtu kupoteza maisha yake tumefika pabaya.
Hivi mauaji haya yana tofauti gani ya Pro. Mwaikusa? yana tofauti gani na mauaji ya yule Mwanasheria miaka michache iliyopita pale Dar; yana tofauti gani na mauaji wananchi kule Arusha, au Songea? Well.. tofauti ni namna tu lakini ni kuwa wote wamepoteza maisha katika mazingira ambayo hayakupaswa kutokea; ni mazingira ambayo yanahitaji kuchunguzwa na kuondolewa ili isije ikafika mahali huko mbeleni tukasikia Waziri auawa, Mwenyekiti wa Chama cha siasa apigwa risasi au Mbunge auawa au hata iwe yale yale ya Afisa auawa au mwananchii auawa akidhwaniwa ni jambazi!
Hekima inatuita tulaani mauaji haya, kuyapinga na kutaka juhudi zote za kuwaleta kwenye haki zifanyike pasi ya huruma au upendeleo au husuda. Hii haina maana watu tunaridhika na utendaji wea jeshi la polisi. Ushahidi ni mwingi mno kuwa jeshi letu linahitaji mabadilikko ya mfumo (structural reform) ili kulifanya liwe la kisasa zaidi, likijali watu na likiwa linaelewa tunu ya kanuni za demokrasia. Mahitaji ya mabadiliko hayo hayalalishi unyama dhidi ya polisi au raia. Na pamoja na hilo mabadiliko ya msingi yatokee ndani ya jeshi la polisi ili lionekane kweli linajali raia.
Binafsi ninalaani vikali mauaji ya kinyama ya kamanda wa polisi na kutaka haki itendeke kuhakikishwa wahusika wanakutana na mkkono wa sheria. Huwezi kupinga mauaji ya Mwangosi na kutaka haki itendeke halafu ushangilie mauaji ya Kamanda.
Haki ni haki hata ya adui yako ni haki. Mwangosi alikuwa na haki ya kuishi kama vile Barlow alivyokuwa nayo na kama mamia wengine walivyokuwa nayo na ambayo ilikatishwa kinyama. Tusivumilie mauaji ya aina hii kwani yana chochea visasi. Itakuwaje kama polisi nao katika kujihami wanaanza kuua kama mbwa na wananchi wanarudishia kisasi kama wana wazimu?
Litakuwa ni taifa la damu. Damu ambayo isipokataliwa itaendelea kutiririka kama kijito kisichokoma.
Mkandara umenifurahisha kwa uchambuzi wako ingawa unaelekea kuchukizwa na udini lakini ww yaelekea ni mdini sana, au labda c mwelewa mambo ya wengine hv mtu mwenye akili timamu atasemaje mchungaji aache uchungaji ndo akawe mwanasiasa? hujui uchungaji ni cheo kama dr, prof,alhaj, nk baada ya kuhitimu mafunzo ya uchungaji? We unaweza sema mtu aache ulhaji ndo akawe mwanasiasa? Title za watu zisitusumbue, cha kujiuliza je anachapa kazi? tujadili hoja ya MMK tuache udini.Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu nakuomba sana ufahamu tabia na hulka za binadamu kabla hujahukumu na kitu gani kinatakiwa kufanywa kwanza ili kuondoa nafasi ya mambo yanayoweza kutokea. wazungu wanasema mahala popote ambapo diplomacy imeshindikana basi fahamu ya kwamba upo uwezekano mkubwa wa vita hata kama swala limeanzishwa na mtu mmoja. Iraq ilishambuliwa kwa sababu ya mtu mmoja tu Saadam na walokufa ktk mashambuliszi hayo wameitwa nani Collateral damage. Mtu mmoja anaweza kabisa kuimaliza jamii nzima, hivyo hekima huanza na watu wenyewe kutofundishana shari.
Binafsi yangu husema kama kuna uwezekano wa kuepusha shari Je, kuna sababu gani ya kupuuza UPENDO lakini tuwe wepesi wa kulaani matokeo wakati mbegu tulizopanda ndizo chanzo na sababu ya matokeo hayo?. Kwa nini tusijifunze kutopanda mbegu chafu ambazo matokeo yake ndio haya..Hivi kweli wewe na wengineo mlitegemea Polisi wanaweza kuua na tukawalaani kwa maneno lakini wananchi wataendelea kuvumilia kuona mauaji yakiendelea na jeshi letu likijenga Chuki na uadui baina yake na wananchi?..
Kosa la kamuhanda linaweza kabisa kuchukua sura mpya ni lazima tujifunze haya, na hivyo kosa la mtoto alokojolea Msahafu linaweza kabisa kuzua vita baina ya Waislaam na Wakristu, kosa la Chadema linaweza kuzua vurugu kubwa baina ya wanachama wa CCM ana Chadema na kosa la Chadema linaweza kuzua vifo vya raia wengine wengi..
La muhimu kwetu sisi ni kujiuliza kama kuna umuhimu wa kuendeleza vitendo vyovyote kwa gharama hizi kubwa ambazo zinajenga chuki baina yetu. Kuna tatizo gani kwa serikali yetu, viongozi wa vyama na serikali na dini kufundisha UPENDO?.. kwa nini kila unapokwenda nchini siasa ni za CHUKI tu.. aidha viongozi kutupiwa mawe, makanisani na misikitini hakuna mafundisho ya upendo isipokuwa upande wa pili ni watu gani. Ukienda Msikitini Hotuba hazizungumzii hadithi za mtume isipokuwa SIASA za chuki, Ukienda makanisani vile vile, Ofisi za CCM na Vijana ni jinsi ya kuwasambaratisha Chadema. CUF ni Uzanzibar dhidi ya bara, JF ni waislaam against wakristu, CCM against Chadema, CUF agaisnt Chadema tena kwa matusi mazito mazito. Hi kweli ndio demokraisa au tunafanya madudu mengine?..Kweli mnategemea kuwepo na AMANI?..
Leo hii katika vyama vyetu wachungaji ndio wanagombea Ubunge, I mean mkuu wangu unategemea nini kutoka kwa mchungaji anayekwenda kanisani kufundisha dini wakati ni mwanasiasa mgombea Ubunge wa jimbo lake?.. halafu tunasema nchi yetu haina dini! huyu ni mbunge ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Waziri kama chama chake kitaingia madarakani..Kwa nini asiache kwanza Uchungaji kama alivyofanya Dr.Slaa na kujishughulisha na siasa lakini unakuta mtu anagombea Uongoz huku akifundisha Gospel makanisani na hata ktk majukwaa ya siasa. jamani tunatafuta nini kama sio kuitaka shari sisi wenyewe?..
mambo mengine jamani sina haja ya kuyazungumza sana lakini ukweli unabakia kwamba sisi wenyewe tunafundisha a chuki, sisi wenyewe ndio tunaochochea hizi CHUKI na HuSUDA ktk mfumo mzima wa siasa zetu na Utawala. Maana sioni tatizo kabisa kwa Polisi nchini kuwalinda wananchi kama walivyoapa badala yake wananchi ndio wanakuwa maadui zao kwa makosa yalofanywa na viongozi wao halafu tutegemee watu watakaa kimya tu....
Hongera sana mkuu Mkandara, kweli kabisa yanayotokea sana ni mazao ya mbegu mbaya ya chuki iliyopandwa kwanza na jeshi la polisi lenyewe. Mara ngapi tumesikia polisi wakipongezana na kutoa taarifa za hovyo kabisa, eti polisi wamefanikiwa kuwa ua majambazi kadhaa! ni nani huwa amethibitisha kwamba waliouawa huwa kweli ni majambazi? kumbuka hata wale wafanya biashara wa madini waliouawa na akina Zombe pale Dar mara ya kwanza kabla ya uchunguzi waliitwa majambazi!Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu nakuomba sana ufahamu tabia na hulka za binadamu kabla hujahukumu na kitu gani kinatakiwa kufanywa kwanza ili kuondoa nafasi ya mambo yanayoweza kutokea. wazungu wanasema mahala popote ambapo diplomacy imeshindikana basi fahamu ya kwamba upo uwezekano mkubwa wa vita hata kama swala limeanzishwa na mtu mmoja. Iraq ilishambuliwa kwa sababu ya mtu mmoja tu Saadam na walokufa ktk mashambuliszi hayo wameitwa nani Collateral damage. Mtu mmoja anaweza kabisa kuimaliza jamii nzima, hivyo hekima huanza na watu wenyewe kutofundishana shari.
Binafsi yangu husema kama kuna uwezekano wa kuepusha shari Je, kuna sababu gani ya kupuuza UPENDO lakini tuwe wepesi wa kulaani matokeo wakati mbegu tulizopanda ndizo chanzo na sababu ya matokeo hayo?. Kwa nini tusijifunze kutopanda mbegu chafu ambazo matokeo yake ndio haya..Hivi kweli wewe na wengineo mlitegemea Polisi wanaweza kuua na tukawalaani kwa maneno lakini wananchi wataendelea kuvumilia kuona mauaji yakiendelea na jeshi letu likijenga Chuki na uadui baina yake na wananchi?..
Kosa la kamuhanda linaweza kabisa kuchukua sura mpya ni lazima tujifunze haya, na hivyo kosa la mtoto alokojolea Msahafu linaweza kabisa kuzua vita baina ya Waislaam na Wakristu, kosa la Chadema linaweza kuzua vurugu kubwa baina ya wanachama wa CCM ana Chadema na kosa la Chadema linaweza kuzua vifo vya raia wengine wengi..
La muhimu kwetu sisi ni kujiuliza kama kuna umuhimu wa kuendeleza vitendo vyovyote kwa gharama hizi kubwa ambazo zinajenga chuki baina yetu. Kuna tatizo gani kwa serikali yetu, viongozi wa vyama na serikali na dini kufundisha UPENDO?.. kwa nini kila unapokwenda nchini siasa ni za CHUKI tu.. aidha viongozi kutupiwa mawe, makanisani na misikitini hakuna mafundisho ya upendo isipokuwa upande wa pili ni watu gani. Ukienda Msikitini Hotuba hazizungumzii hadithi za mtume isipokuwa SIASA za chuki, Ukienda makanisani vile vile, Ofisi za CCM na Vijana ni jinsi ya kuwasambaratisha Chadema. CUF ni Uzanzibar dhidi ya bara, JF ni waislaam against wakristu, CCM against Chadema, CUF agaisnt Chadema tena kwa matusi mazito mazito. Hi kweli ndio demokraisa au tunafanya madudu mengine?..Kweli mnategemea kuwepo na AMANI?..
Leo hii katika vyama vyetu wachungaji ndio wanagombea Ubunge, I mean mkuu wangu unategemea nini kutoka kwa mchungaji anayekwenda kanisani kufundisha dini wakati ni mwanasiasa mgombea Ubunge wa jimbo lake?.. halafu tunasema nchi yetu haina dini! huyu ni mbunge ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Waziri kama chama chake kitaingia madarakani..Kwa nini asiache kwanza Uchungaji kama alivyofanya Dr.Slaa na kujishughulisha na siasa lakini unakuta mtu anagombea Uongoz huku akifundisha Gospel makanisani na hata ktk majukwaa ya siasa. jamani tunatafuta nini kama sio kuitaka shari sisi wenyewe?..
mambo mengine jamani sina haja ya kuyazungumza sana lakini ukweli unabakia kwamba sisi wenyewe tunafundisha a chuki, sisi wenyewe ndio tunaochochea hizi CHUKI na HuSUDA ktk mfumo mzima wa siasa zetu na Utawala. Maana sioni tatizo kabisa kwa Polisi nchini kuwalinda wananchi kama walivyoapa badala yake wananchi ndio wanakuwa maadui zao kwa makosa yalofanywa na viongozi wao halafu tutegemee watu watakaa kimya tu....
MM tumepata taarifa kumbe alikuwa na mke wa mtu,ilikuwa ni halali yake kutwangwa lirisasi la shingo,Mungu analipiza kwa njia nyingi sana na tunaomba kwa nguvu zote yule wa iringa naye yamkute mabaya kuliko haya
Sio wewe uliesema humu 'umetafuna' wake za watu saba?
sasa unashangilia nini hapa?
wewe ufanywaje na wenye wake?
Hivi kuna uhusiano wa hii kitu na hile ya afisa uhamiaji.. hapo Mwanza?
Nimesema juzi kuwa ukosefu wa hekima ni janga kubwa la kitaifa kwa kweli nilimaanisha hilo. Tangu habari za mauaji ya Kamanda Barlow yalipotokea mwitikio wa watu wengi umekuwa ni kutokujali, kuhalalisha na hata kushangilia ni kama mtu kusema "akome". Wengi wanahalalisha hili kwa sababu wanaamini ujumbe umetumwa kwa polisi na kuwa polisi 'wanaua watu na sasa kimewarudia'.