Hekaya za Abunuwasi na Safari za Bulicheka, Vitabu vya Akajase Mbamba. Tumetoka mbali sana

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
tafadhali wahusika mbali mbali wa kizaz kile cha miaka ya nyuma tuliokuwa na access na dunia mbalimbal nadhan tunakumbuka vitabu vya Hekaya za Abunuwasi, Safari za Bulicheka kama sikosei na pia Hadith za Akajase Mbamba. sis wa miaka ya 70s nadhani tutakuwa tunavikumbuka hivi.

naweza kuvipata wapi kati format yoyote kama ni Video,Soft Copies au Hard Copies.
 
Nahitaji kile cha hadith za Allan Quarteman, nikimkumbukia umsolopogas na inkweskazi yake aisee....
Manenge na Mandawa bila kusahau Njama!
 
nilikua na hard copy nikampa dogo bahat mbaya watt wa kisasa hawaelew utamu wa zile story akakipoteza bila kusoma story hata moja
 
Ingia labrary za mkoa bathii ya vitabu vipo...na kumbuka hicho cha abunuasi nilikisoma library ya mkoa wa arusha ila sijui kama kipo mpk sasa ivi...
 
Nahitaji kile cha hadith za Allan Quarteman, nikimkumbukia umsolopogas na inkweskazi yake aisee....
Manenge na Mandawa bila kusahau Njama!
tmp-cam-272540434.jpg
Bila shaka ni hicho.
 
Ingia labrary za mkoa bathii ya vitabu vipo...na kumbuka hicho cha abunuasi nilikisoma library ya mkoa wa arusha ila sijui kama kipo mpk sasa ivi...
Kipo kinapatikana mkuu, hicho mimi ninacho, siku hizi kuna watu wanarudufu tena vile vitabu vya zamani, mfano: Kikomo, kikosi cha kisasi, sanda ya jambazi, Lazima azikwe, njama, kufa na kupona na vingine vingi tu.
 
Asee nilikuwa nafikiria kutengeneza video cartoons ya hivi vitabu angalau watoto Wa kizazi hiki wa kidigitali waambulie utamu wa vile vitabu...
 
Back
Top Bottom