Hekari moja ya shamba la miti ya miaka 8 linauzwa

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,390
Habari wakuu,

Ninauza shamba la miti ya mbao lenye ukubwa wa ekari moja.
-Shamba halijapimwa/ halina hati
-Miti ina umri ya miaka nane
-Shamba lipo kijiji cha Kipengere mkoani Njombe
-Shamba limepakana na barabara na ni ngumu kufikiwa na hatari ya moto
-Pia ukitaka kununua miti pekee tunaweza kuzungumza
Bei ya shamba hilo ni shilingi milioni mbili na laki tano tu (2,500,000/=)

Mawasiliano 0679861325.

Karibuni sana
 
Duuuu!...Kweli vyuma vimekaza mpaka shamba lisilo na hati linauzwaje!!?...Sheria na taratibu za uuzwaji ardhi unazifahamu kweli.!?..Acha njaa..Take Care Mkuu
 
Mkuu sio ajabu kwa shamba lisilo na hati kuuzwa. Ni kweli vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom