Heka heka za CHADEMA za ahirisha mbio za Mwenge Mkoani Mbeya

gharama za kuupeleka kilmanjaro za nini si wa uzike makaburi ya kinondoni au sinza story iishe mwenge wa nini ulikuwa na maana kipindi cha jk nyerere,na wenyewe sasa ni gamba naufananisha na nape
Nguvu ya umma sio mchezo, kwanza huu mwenge nao ni gamba, waurudishi mlima kilimanjaro
 
Back
Top Bottom