Heka 1 ya alizeti mavuno kg 800 ~ 1000 bila kutumia mbolea

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.

Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia

"Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na parizi nimefanya moja tu"

Sasa yeye hakujikita kufanya tathimini ya kina,ivo nikamuomba mbegu namimi za kutosha eka 3 akanipa nikamlipa 270k tu.

Msimu wa kilimo wa 2020/21 nikaandaa shamba nikapanda baada ya kuona namna suke zake zilivo nikajiridhisha kwa eka 1 ninauwezo wa kupata kg 800~ 1000 za Alizeti namimi sijatumia MBOLEA yoyote. Kwa hizi eka 3 nina uhakika wa kupata kg 2400~ 3000 kwa uwezo wa Mungu.

~Eneo Lyanamwe Mbarali Mbeya.

IMG-20210607-WA0097.jpg
 
Iyo ime apply kwako na kwa mwingine atatokea njia nyingine.

Ishu ni kushika unachoweza ama unachokipenda unakufa nacho.try to be good and experienced in one and only one field then utaona matunda.ila ukitangatanga utaishia popote Mana utamsikia laizer utakimbilia mererani,Mara vijana wa tours wanatoka kimaisha na vibibi wa kizungu utakimbilia huko,Mara kitunguu mang'ola,Mara uvuvu mza samaki ndo umemtoa ghitana,Mara gold buhemba musoma nyamongo geita.

Mara miti ya mbao sijui iringa ,Mara mwalimu akawa mbunge so Mara daktari akatoka kimaisha utazitaka fani zote.
Tunafanikiwa kwa kujijua tunachopenda kukifanya
 
Mkuu Ni kweli tutafanikiwa kwa kufanya tunavyovipenda,

Manake Kuna mwingine wamehamia kwenye udereva teksi bubu ili awe rais.
 
Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.

Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia

"Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na parizi nimefanya moja tu"

Sasa yeye hakujikita kufanya tathimini ya kina,ivo nikamuomba mbegu namimi za kutosha eka 3 akanipa nikamlipa 270k tu.

Msimu wa kilimo wa 2020/21 nikaandaa shamba nikapanda baada ya kuona namna suke zake zilivo nikajiridhisha kwa eka 1 ninauwezo wa kupata kg 800~ 1000 za Alizeti namimi sijatumia MBOLEA yoyote. Kwa hizi eka 3 nina uhakika wa kupata kg 2400~ 3000 kwa uwezo wa Mungu.

~Eneo Lyanamwe Mbarali Mbeya.

View attachment 1819253
Safi hebu nipe darasa, alizeti inapandwaje kwenye mistari?
 
ulipanda mwezi gani
 
Nikajua unaleta mrejesho kumbe unasimulia
 
Hiyo mbegu inaitwaje jina lake?
 
Back
Top Bottom