Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakoma na pesa za korosho safari hii, soon watavaa suit
Sasa si bora huyo anakula chapati huku mtaani wapo wanaokula kondom
Inaelekea unapenda sana chapati!Dah aisee mpk nimesikia njaa ati
Yaan wee acha tuInaelekea unapenda sana chapati!
Kwa pm kuna raha hadi mbuzi wanagonga chapati wakati kwingine wanalia njaa-hawa ndo wamekua na kaulimbia ya hapa kazi tu toka enzi za JKt safi sana
Yeroooo, Ruangwa wadosi hadi mbusi inakula chapati!
Weka picha tuoneSasa si bora huyo anakula chapati huku mtaani wapo wanaokula kondom