Heeeeeeeellllll ppppppppp!

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Za leo wandugu,
Jamani naombeni msaada, mwanangu wa ana 4 months ila anasumbuliwa sn na mbaa mwingi kichwani, kapimwa damu kakutwa na deficiency of Zinc minerals. Na kwa sasa yuko kwenye doze for one week...but no improvement kichwani. Ila sehemu zingine za mwili zimeanza kurudia hali yake ya kawaida. Nilijaribu olive oil nikaona ndo kama nazidisha vile. Naombeni msaada nitumie nini kwa huo mmbaa jamani. Utanitia wasiwasi kwa kweli.
 
Fuata ushauri wa daktari. Ukimaliza dawa mfuate tena atajua nini cha kufanya. Ni mtoto mdogo huyo usicheze na dawa bila ushauri wa daktari. Hata na hivyo kwa kuwa tatizo linajulikana atapona tu taratibu. Kawaida magonjwa ya ngozi huwa yanachukua muda. Na hata hayo madini aliyopungukiwa si yatarudi taratibu pia kwa hizo dawa alizopewa. Kuwa na subira. Pole sana
 
Ooooooh! pole.Yalinikuta pia kwa mwanangu,nimehangaika for 2yrs.kuna dawa ya vidonge(siikumbuki tena kwa jina ukienda pharmacy uliza dawa ya mapunye ya vidonge,ni dose ya 1month),utapewa na tetmosal soap,na dawa ya kuoshea.Yatakwisha kabisa.
 
POLE, mtoto bado mdogo sana epuka kubadilisha badilisha madawa bila ushauri wa daktari, usihofu Mungu atamsaidia.
 
Pole Penny najua kitu kama hiyo ni so stressful lakini fuatilia tu masharti ya daktari kuliko kuchanganya mambo ukashindwa jua ni dawa ipi ilimtibu mwanao.
 
pole sana ndugu yangu jaribu kutumia dawa hii ni sasfi sana kuna jirani yangu alikuwa nae anasumbuliwa sana kwa miaka kadhaa ila sasa yupo safi na ananyoa hata kiduku amepona ,dawa inaitwa "coteconazole tabs"
Conquest-zingatia dose u will be ok sure i promise:whoo:
 
Huo mmba kichwani ni kama ukoko? Kama ndio, basi kabla ya kumwogesha mpake mtoto mafuta ya nazi kichwani mwache kwa muda kama nusu saa, then mwoshe na maji ya vuguvugu na sabuni mild(dove sensitive skin or johnson's head-to-toe baby wash). Kwa ngozi unaweza kumpaka lotion inaitwa Eucerin dry skin therapy au Aquaphor baby healing ointment inasaidia sana. Binafsi ndivyo daktari wangu alivyonishauri na tatizo la mwanangu lilikwisha kabisa.
 
Muone prof majimarefu au Katavi nafikiri watakusaidia kumaliza tatizo hili!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom