heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

Caritha

Member
Apr 5, 2012
64
13
jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za watu bila aibu? tulizana tuko wangapi?:angry::A S cry:
 
maisha bora kwa kila mtanzania.....siasa ya TZ inaingia kila sekta
 
Hodi jamani..... mm mgeni wenu leo. Ningeomba nichangie kiduchu juu ya hii hoja. Huyo dada hana aibu na alimdhalilisha mume wake. Kikubwa zaidi apewe ushari jinsi ya kuishi ukiwa kwenye ndoa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom