jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za watu bila aibu? tulizana tuko wangapi?:angry::A S cry: