Fikiria unamkuta dem wako analiwa denda halafu jana uliwaambia marafiki zako unataka kumvisha pete ya uchumba,na wakati unamuona ndo umetoka kununua pete!!Utaimeza au utaitafuna????

Heeee!!!!Mchuma wako analiwa denda!!!!
Mtwa hizo haraka za nini asubuhi hiii?
Hata mimi nashangaa. Kurudi kwa sonara haifai. Bora tu uhesabu kuwa hiyo ni hasara. na uitupe mbali watu wasiojulikana waokote.rud kwa sonara na pete yako mwambie sonara aiyeyushe aitengeneze pete then iyo kichen kdg dg MPELEKEE MAMA YAKO MZAZ...au dada yako...yule last bon
uyo demu mkimbie na akija mkimbize
polen sana
ahh mbona izi mambo zipo iv jaman??????????????????????????????mi nachanganyikiwa jamaN...kamari iz everwhere
hesabu za probability haziish daily znatokea ....
Usirembe uzembe, Kalambwa denda basi tupa pete tambaa kimya kimya! Mazingira ya kulambwa denda Bi harusi mtarajiwa? Halina cha mazingira wala nini anatakiwa kuwa makini. Hiyo ni mbaya na DENDA halitoki hivihivi tuDah! ala tujaribu pia kuangalia mazingira.....siku hizi hata wezi kabla ya kum pora mdada ana kula denda kwanza au baada.......and mazingira yalikuwaje? Usikurupuke kumkimbia unless mazingira yanamtia hatiani
And kama ni Mkeo? Mumeo? and watoto wako home?
et ennh?Hata mimi nashangaa. Kurudi kwa sonara haifai. Bora tu uhesabu kuwa hiyo ni hasara. na uitupe mbali watu wasiojulikana waokote.
Ni mkosi huo kama ulitaka kuoa kweli
Ujue hutakaa upate demu wa kuoa " a.k.a"MCHUMA"
et ennh?
kwel lakin
Ni kweli hawa ndo baadaye wanakuzarau kwa kuwa kuna watu wenye mvuto zaidi yako katest weeee halafu wewe hufikii, Mtatushauri hadi lini Rose??
Mengine yanaepukika
apo chachaaaaaaaaa!!!
sjui tutashauriana mpk ln?