Elections 2010 Hee Hivi kweli wanamwapisha!!

Kwa katiba tuliyonayo ni lazima aapishwe, lakini tungelikuwa na katiba huru wangesubiri mpaka uchunguzi ufanyike kuhusu kura zilizoibwa.
 
Inshaallah kesho ALLAH SWT atawadhalilisha mafisadi wenye kudhulumu mali za mafukara wa Tanzania tena mbele ya Jumuiya ya mataifa ...
 
mi namuomba anywe dawa maana hajanywa leo na juzi hapa alipotka zanzibar kuapishwa shein alidodondoka hapo ikulu.

amepewa dawa kanywa siku moja tu....

kesho sidhani kam atasimama pale kuapa.

ana kisukari kiko 16.4
 
Kumbe alidondoka ikulu ya Zenji?
Shekh Yahya hakuwepo?
 
Kwa katiba tuliyonayo ni lazima aapishwe, lakini tungelikuwa na katiba huru wangesubiri mpaka uchunguzi ufanyike kuhusu kura zilizoibwa.

Kwa katiba tuliyonayo ( WEWE UNATAKA TUWE NA KATIBA IPI ?) ni lazima aapishwe ( NDIO ALIYESHINDA –JK ), lakini tungelikuwa na katiba huru ( KAMA IPI KATIBA HURU PENDEKEZA ) wangesubiri mpaka uchunguzi ufanyike kuhusu kura zilizoibwa ( KURA ZOTE HALALI HAKUNA ZILIZO IBIWA NI DHANA YAKO / ZENU TU )
 
Ngojea nianze maombi hatari sasa! Kweli Mungu hawezi kuacha dhuluma kubwa ivi! Kesho mtu hatoki kitandani....
 
Nitafute mnara mmoja mrefu au jengo refu nimfumue kichwa chake nikiwa mbali kabisa na eneo la kuapishiwa. Nadhani nitakufa nikiwa shujaa!!

hapana kaka najua inauma lakini usijiue ili 2015 tushuhudie wote mwisho wa mafisadi!
 
Je inawezekana kile alichotabiri TB JOSHUA kwa ajili ya Tanzania kimetimia? Alisema upinzani utashinda lakini hautatawala!!! mm Mungu alijua yatakayotokea, lakni pia naamini anajua what next kwa ajili ya taifa letu! Tujipe moyo wapenda demokrasia ya kweli hakuna marefu yasiyo na mwisho!
 
nimekupata Ngigana!!
 
Back
Top Bottom