Heche: Soon anaweka kina Sabaya wake, Uchumi wa kati umeanguka lini?

"Kwa kauli hizi ameondoa kina Sabaya wachache wa Magufuli anaweka kina Sabaya wake, soon utekaji, mauji na utesaji wa watu utaanza.hivi nchi ambayo wewe ukiwa makamu wa rais mlisema mmeinua uchumi na kupeleka uchumi wa kati lini tena umeanguka mpaka unataka kuuinua? Heshimu katiba"-John Heche
This is a NICE one ............!!
 
Toa CCM madarakani, Haina jipya mnaomshangilia the so called MAMA mtamkana soon!

Katiba mpya haiwezi kuzuia marekebisho anayoyafanya Mh. Rais katika kuujenga uchumi waliouharibu yeye na jiwe. Huyu huyu alidai kuwa hata wananchi wasipowapa CCM kura za kutosha watarudi ikulu. Anachokifanya ni kujiosha ili ionekane hakuwa pamoja na JPM.

Kama JPM alikuwa wa hovyo Basi hata huyu ni walewale, anaenda kuharibu zaidi.

Tunatumia katiba inayoegemea busara za kiongozi mmoja badala ya Sheria halisi.
Ahahahahaha nakumbuka Mbowe anatamka eti 'Mama yetu tupe tumaiji jipya'..zisi kantre miyayusho sana
 
Chadema na genge la wachaga wanaamini katiba mpya ndo itawapa urais,warekebishe katiba ya chama Kwanza ili Mbowe aachie madaraja baada ya hapo tuje kwenye katiba ya nchi.

Shubamiti!!!!!
 
Haumwi ni shida tu kwani hata uwezo wa ku dry clean suti zake umepungua sana-- kukosa ubunge si jambo rahisi
Mbona hata wewe Hujawa mbuge je uwezo wako ukoje

20210629_011921.jpg
 
Back
Top Bottom