HECHE: RCO anaendeshwa na CCM

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Ni katika mkutano wa kampeni Mjini Igunga. Binafsi nimefurahishwa na awareness waliyonayo wana-Igunga. They are well informed. Na pia nawapongeza CDM kwa kuweza kuwaeleza kile kinachotea kwa kina katika kampeni zao. CCM hata kama wakitumia vyombo vya habari chakachuuzi kusema wametekwa ni kazi bure..maana wanadanganya watu wa mbali kabisa.. ila walioko huko wako well informed. Kwa kweli wameamka na hawadanganyiki.

Cheki hapa: RCO anaendeshwa na CCM - YouTube
 
hii mpya kwakweli
 
Tuna elekea kubaya na CCM wana wajibu wa kujibu haya .Sijawahi kuona kweli matukio ya aina hii yanakuwa hayaonekani mbele ya vyombo vya usalama na hata watu wa Usalama kukaa kimya kwa jina la CCM wanaota ndoto maana likitokea la kutokea hata wao hawatakuwa salama .Shame on you all who cling on power and disregard human rights , and equal rights before the law .
 
Huu mkutano ulikuwa full vijana sijui kama ccm wanavijana kweli Igunga!

CCM watatumia La Cairo strategy. That is their only option remains, ila upupu huu una faida sana kwa wapenda mageuzi kuelekea 2015. Maana unadelegitimize system nzima ya Tanzania kuanzia ya usalama mpaka ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wa Igunga CDM ijikite kwenye katiba mpya iliyo huru na itakayo tokana na wananchi.
 
Umenena vyema mkuu..ila hapo mwisho ndio umeharibu. Suala la katiba mpya si la CHADEMA wala chama chochote. Ni suala la sisi wananchi..tukisubiri kila kitu kifanywe na chama fulani, mkuu nchi hii itabaki kuwa ya porojo tu!! Lazima sisi wananchi tutumie uwezo wetu wa kikatiba kurun hii nchi.
 
Kama umenipata vizuri nilikuwa nina maana kuwa katiba iliyopo sasa ndiyo inawapatia CCM kiburi cha kuvuruga taratibu. Uchaguzi wa Igunga uwe chachu ya kuanzisha madai ya katiba. CDM ni watu ndiyo maana nasema kabla hamasa ya uchaguzi huu haijatulia agenda mama iwe ni katiba mpya. Ninajua kwa jinsi CCM walivyotumia nguvu nyingi Igunga kuanzia ya fedha mpaka muda wa wazee wastaafu, itakuwa ni pigo kubwa sana kama watakubali kuwatangaza CDM washindi japo mazingira yote yanaonesha kuwa wanaigunga wanaipigia kura nyingi zaidi CDM kuliko chama chochote. Ila matokeo halali si product ya mbunge ajaye wa CDM, tutarajie mapinduzi ya matakwa ya wananchi kwa kutumia nguvu, vijana wengi hawataona majina yao siku ya kupiga kura na matokeo yatatangazwa kwa mwendo wa kinyonga ili kushusha munkari na kukatisha tamaa wananchi wenye hamasa. CCM watakuwa tayari kutoa watu kafara siku ya uchaguzi ili wajitangaze washindi, hayo yakitokea ni sababu tosha za kudai Katiba mpya ama kwa CCM kuhiyari ama kulazimishwa na mazingira.
 
Umeeleweka mkuu..tupo pamoja katika hayo....
 
Umenena vyema mkuu..ila hapo mwisho ndio umeharibu. Suala la katiba mpya si la CHADEMA wala chama chochote. Ni suala la sisi wananchi..tukisubiri kila kitu kifanywe na chama fulani, mkuu nchi hii itabaki kuwa ya porojo tu!! Lazima sisi wananchi tutumie uwezo wetu wa kikatiba kurun hii nchi.

ni kweli kabisa uliyoyasema lakini chadema wao ndiyo chachu yetu..wanatakiwa waongoze mashambulizi kwa manufaa ya watz
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
bila CCM nchi yetu itakuwa kama somalia.itagawanywa na kuwa vipande pande.tumeisha ona vurugu za CDM na sera za kimajimbo.Tutajenga taifa la walalamikaji kila siku na wahuni kama wale waliomvua DC hijabu na kumburuta.hata HECHE haoni mbali so myopic in nature.
 
Kumbe ulivyokuwa pale City Garden na Beno Malisa na Riz1 ndio ulikabidhiwa zile milioni 3.5 ili uje huku uanze kutetea Magamba?zikiisha utakwenda wapi?
 
bila CCM nchi yetu itakuwa kama somalia.itagawanywa na kuwa vipande pande.tumeisha ona vurugu za CDM na sera za kimajimbo.Tutajenga taifa la walalamikaji kila siku na wahuni kama wale waliomvua DC hijabu na kumburuta.hata HECHE haoni mbali so myopic in nature.

Mi nadhani ni vema sasa jf ikaanza utaratibu wa kuwapima watu akili kabla ya kuwaruhusu kuchangia mada humu jamvini.
Mfano mzuri mnauona kwa huyu twahil,kuna mambo mawili aidha ana utapiamlo wa ubongo au kuna uwezekano ukoo wake wote unalishwa na ccm kwahiyo asipotimiza matakwa yao ukoo mzima utateketea kwa njaa
 
mimi nishamfanyia utafiti huyu mgonjwa twahil na tatizo lake kubwa toka utotoni ni hilo hapo kwenye red!
 
bila CCM nchi yetu itakuwa kama somalia.itagawanywa na kuwa vipande pande.tumeisha ona vurugu za CDM na sera za kimajimbo.Tutajenga taifa la walalamikaji kila siku na wahuni kama wale waliomvua DC hijabu na kumburuta.hata HECHE haoni mbali so myopic in nature.

alivuliwa mtandio wewe au hujui tofauti ya hijab na mtandio?
 
Ni katika mkutano wa kampeni Mjini Igunga. Binafsi nimefurahishwa na awareness waliyonayo wana-Igunga. They are well informed. Na pia nawapongeza CDM kwa kuweza kuwaeleza kile kinachotea kwa kina katika kampeni zao. CCM hata kama wakitumia vyombo vya habari chakachuuzi kusema wametekwa ni kazi bure..maana wanadanganya watu wa mbali kabisa.. ila walioko huko wako well informed. Kwa kweli wameamka na hawadanganyiki.

Cheki hapa: RCO anaendeshwa na CCM - YouTube

Ndio maana nnasema Chadema ni chama makini,tutakomaa na hawa mafisadi ccm ole wao
 
Back
Top Bottom