Heche: Hivi Bulaya kuja kunichangia ujenzi wa hostel za wanafunzi ni kosa? Kingu jimboni kwa Lissu nae alifanya kosa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1503163257516.jpg
Ni ajabu kwamba leo Mbunge Ester Bulaya amekamatwa na anashikiliwa na polisi eti kwa kuja jimboni kwangu kunisaidia kuchangia kwenye ujenzi wa Hostel ya watoto wa kike kwenye shule ya sekondari Nyamongo!!! Mh Bulaya ni Mwanamara, ni Mtanzania na ana haki ya kufanya ushirikiano na mtu yeyote anaetaka,sitakubali kuona viongozi wachache wa serikali wasiokuwa na uadilifu wanahujumu maendeleo makubwa tunayofanya Tarime kisa yanafanywa na chadema, hatutakubali wataka sifa wanaotafuta vyeo eti kwa kuonesha wanaonea wapinzani wafanye hivyo Tarime.
Tarime hatujawahi kuwa waoga tutasimama imara na tutashinda kwasababu tuko kwenye haki.
 
Yaani hao maccm laana zimeshaanza kuwatafuna'kwa kazi sana, ndiyo maana wanafanya mambo ya ajabu ajabu....

Imagine bombardier imezuiwa huko Canada....

Majadiliano ya makinikia nayo timu yetu ya majadiliano imewekewa "mashine" za oxygen kwa ajili ya kupumulia!

Lakini ambacho maccm hawataki kukijua ni kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU.....
 
View attachment 57041 Ni ajabu kwamba leo Mbunge Ester Bulaya amekamatwa na anashikiliwa na polisi eti kwa kuja jimboni kwangu kunisaidia kuchangia kwenye ujenzi wa Hostel ya watoto wa kike kwenye shule ya sekondari Nyamongo!!! Mh Bulaya ni Mwanamara, ni Mtanzania na ana haki ya kufanya ushirikiano na mtu yeyote anaetaka,sitakubali kuona viongozi wachache wa serikali wasiokuwa na uadilifu wanahujumu maendeleo makubwa tunayofanya Tarime kisa yanafanywa na chadema, hatutakubali wataka sifa wanaotafuta vyeo eti kwa kuonesha wanaonea wapinzani wafanye hivyo Tarime.
Tarime hatujawahi kuwa waoga tutasimama imara na tutashinda kwasababu tuko kwenye haki.
Bulaya yuko selo wewe unabwabwaja wanamara hamjawahi kuwa waoga? Kitu gani utafanya kuonesha hauko tayari kuonewa?.
 
Yaani hao maccm laana zimeshaanza kuwatafuna'kwa kazi sana, ndiyo maana wanafanya mambo ya ajabu ajabu....

Imagine bombardier imezuiwa huko Canada....

Majadiliano ya makinikia nayo timu yetu ya majadiliano imewekewa "mashine" za oxygen kwa ajili ya kupumulia!

Lakini ambacho maccm hawataki kukijua ni kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU.....
Hata km kweli imezuiliwa haitarudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi moja na kila mtanzania ana haki ya kwenda popote. Hakuna sheria inayozuia mwanasiasa kwenda eneo lingine kutembelea wanachama wa chama chake. Serikali iangalie kwa makini majukumu ya wakuu wa wilaya katika kutekeleza kazi zao. Leo tumesikia makamu wa Rais akiamuru fedha za, rambirambi alizozuia mkuu wa mkoa Arusha zipelekwe kwa walengwa.
Serikali iache vyama vya siasa vifanye mikutano yao kwa amani.
 
View attachment 570419 Ni ajabu kwamba leo Mbunge Ester Bulaya amekamatwa na anashikiliwa na polisi eti kwa kuja jimboni kwangu kunisaidia kuchangia kwenye ujenzi wa Hostel ya watoto wa kike kwenye shule ya sekondari Nyamongo!!! Mh Bulaya ni Mwanamara, ni Mtanzania na ana haki ya kufanya ushirikiano na mtu yeyote anaetaka,sitakubali kuona viongozi wachache wa serikali wasiokuwa na uadilifu wanahujumu maendeleo makubwa tunayofanya Tarime kisa yanafanywa na chadema, hatutakubali wataka sifa wanaotafuta vyeo eti kwa kuonesha wanaonea wapinzani wafanye hivyo Tarime.
Tarime hatujawahi kuwa waoga tutasimama imara na tutashinda kwasababu tuko kwenye haki.
Inawezekana Kingu ana uwakirishi sehemu mbili
 
Back
Top Bottom