Heche awatia mbaroni CCM wakigawa Rushwa Serengeti

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti BAVICHA John Heche leo amewakurupusha na kuwakamata makada kadhaa wa CCM wakigawa Rushwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani huko Serengeti.

Taarifa zinasema mara baada ya kuwakamata makada hao waliwapeleka polisi Serengeti mjini.Inasemekana kukamatwa huko kulisababishwa na mtego uliowekwa na wananchi wenyewe.

Chadema inatarajiwa kupata ushindi mnono kwenye kata hiyo.
 
Hawa watoa rushwa, wangekuwa wanapata adhabu ya viboko hadharania tu, tena hamna haja ya kupelekwa mahakamani. Hebu tufikirie hili kabla ya 2014. Hawa wajumbe wa CCM hawana adabu kabisa.
 
Mwenyekiti BAVICHA John Heche leo amewakurupusha na kuwakamata makada kadhaa wa CCM wakigawa Rushwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani huko Serengeti.

Taarifa zinasema mara baada ya kuwakamata makada hao waliwapeleka polisi Serengeti mjini.Inasemekana kukamatwa huko kulisababishwa na mtego uliowekwa na wananchi wenyewe.

Chadema inatarajiwa kupata ushindi mnono kwenye kata hiyo.

CCM hawana chao. Naombeni kwa waliokamatwa wakifikishwa mahakaman CHADEMA tufuatilie hizo kesi had mwisho isije ikawa nguvu ya soda kama kesi za usanii za EPA
 
Heche amekuwa polisi wa TAKUKURU?

Radhia kuwa serious,mambo kama haya ya rushwa hayafanyiwi mzaha,au wewe nawe ni UKO MIONGONI MWA WATEULE WACHACHE AMBAO KUPITIA MIGONGO YA JAMAA ZAO WANAIKAMUA HII NCHI NA WANATAMANI KUDUMISHA MFUMO HUO?MAANA MICHANGO YAKO MINGI INA ELEMENT HIZO. Ila hapa sjut ulipokuwa mwanafunzi wangu hakuonyesha dalili ya baadhi ya vijana wanaofikiri kuwa hawawezi kupambana na maisha na kutumia maarifa na ujuzi tuliowapa kuyajenga maisha yao na wananchi wa nchi hii mbao wengi wao ni wanyonge,ISIPOKUWA KWA hisani ya magamba? USIJE UKANIKUMBUSHA LILE TANGAZO LA BIA YA TUSKER-PALE VIJANA WALIOPIGA MPIRA KWENYE GARI LILOBEBA BIA NA WAKAWA WANALIKIMBIZA ILI KUUPATA ULE MPIRA.ILA KWA BAHATI MBAYA WALIPOLIFIKIA WAKATUPIWA CHUPA KADHAA ZA MVINYO NA WAKAANZA KUNYWA NA KUSAHAU JAMBO LA MSINGI WALILOKUWA WAKILITAFUTA "MPIRA".MSIPOTOSHWE NA VIJISENTI VYA MUDA TOKA KWA WATAWALA NA MKASAHAU KUUNGANA NA WAZALENDO WA NCHI HII ILI KULETA UKOMBOZI WA KWELI NA BAADAE MKAFAIDI RASLIMALI ZA NCHI YENU NA KUONDOKANA NA UNYONGE.NILIFIKIRI PIA KUKAA KWAKO PALE LIBRARY KULIKUSAIDIA JAPO KUPANUA FIKRA JAPO KWA KUSOMA VITABU VICHACHE VYENYE KUJENGA FIKRA ZENYE UDADISI .KUMBE SIO.IM VERY DISAPPOINTED
 
Asante Heche kwa kututia nguvu hata sie tuliombali. Dawa yao ni hiyo hao nyang'au.. Mod atasema nimetukana????
 
Mtaji wa ccm ni rushwa,umaskini na ujinga wa watanzania! Viongozi wengi wa ccm wamezoea hivo mfano ni mh. Lowasa, bila kugawa hongo hajisikii, inaweza ikawa pesa, wali na hata nyama ya ng'ombe!
 
Ingewezekana kila anayeshikwa akitoa/kupokea rushwa anapigwa picha ili mahali popote aendapo ajulikane huyu ndie mwana cdm,ccm,cuf n.k mtafuta kura kwa rushwa
 
Ndani ya chama chaa wamezoea chaguzi za rushwa kwa hiyo wana malezi mabaya sana. Walitakiwa wapelekwe poilisi baada ya kupatiwa kichapo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom