Mwenyekiti BAVICHA John Heche leo amewakurupusha na kuwakamata makada kadhaa wa CCM wakigawa Rushwa katika uchaguzi mdogo wa udiwani huko Serengeti.
Taarifa zinasema mara baada ya kuwakamata makada hao waliwapeleka polisi Serengeti mjini.Inasemekana kukamatwa huko kulisababishwa na mtego uliowekwa na wananchi wenyewe.
Chadema inatarajiwa kupata ushindi mnono kwenye kata hiyo.