Heche akiongea na vyombo vya habari kimara kusitisha maandamano (picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche akiongea na vyombo vya habari kimara kusitisha maandamano (picha)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Nov 10, 2011.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  JF
  Nanukuu maneno ya Heche Mwkt Taifa BAVICHA kwa vyombo vya habari kimara

  "Baada ya jeshi la polisi kukubali kukaa na viongozi wetu kujadili matatizo yaliyopo kati ya polisi na chama chetu, tumekubali kusitisha maandamano yetu hapa dar na nchi nzima ili kutoa nafasi kwa mazungumzo hayo kufanyika,tutaendelea kudai haki bila kuchoka, kama hatutakubaliana katika mambo ya msingi tutawatangazia watanzania wote wapenda haki na demokrasia kwa hatua zaidi. peoples power, MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"

  attached kimara pictures.
   

  Attached Files:

 2. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa Taarifa Ustaadh.
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa wangekuwa wanapambana na mafisadi kwa ujasiri nguvu hizi ingekuwa safi sana.
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Akina FF wanadai CDM haina nguvu Dar?? Police wangeachia hii kitu, by the time maandamano yanafika Magomeni nafikiri yangekuwa yana watu kama laki mmoja!!
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbona Kupeng'e kaja na post na picha akipotosha kua Heche amenywea? dah ama kweli JF imevamiwa.
   
 6. Josephine

  Josephine Verified User

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hawa watu wajinga sana,wangepambana hivi na waalifu basi tusingevamiwa.
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
 8. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndio waliwao! Polisi unajadiliana nao ukubaliane nao nini wakati sheria na taratibu zipo wazi kabisa!
   
 9. L

  Lua JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sura zao zinaonyesha njaa tupu.
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  asante kwa picha mkuu.mia.
  [​IMG]
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa wanapambana na majambazi! naona ujambazi ungeisha.
   
 13. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135


  Mwangalieni jamani huyo jamaa asiye na bunduki alivyochoka! Dah eti nae ni askari
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  FFU WANA AKILI FINYU!! Mshahara wenye wanalipwa kiduchu!
   
 15. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani polisi wanatumika vibaya na CCM wana maisha mabovu,wanaishi kwenye kota mbaya,badala wapambane na CCM waliofanya kuwa na maisha mabovu kwa wizi wanaufanya
   
 16. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  naona kilibya libya hapa. patamu kweli
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Police constable 200,000/= CPL 220,000/TSH, SGT 280,000/-, SSGT 340,000/= huwa zinalenga hapo. Wapiganaji wanao tupiga m,abomu ni PCs, CPLs na SGT ni waamurishaji.

  Kazi kweli kweli. Siku wakianza kufikiria hatima ya wano wanosoma shule za kata wataacha na wataanza kudai na wao haki. Hata hivyo wapignaji wengi huwa ni wanamapinduzi kwani hawajasau kwamba vyama mbadala vikiingia kima cha chini mshahara wa SSGT, sasa SSGT sijui atakuwa na bei gani
   
 18. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyo kupene ndio wale ambao bado waqnachukia vijana wetu kama heche wasifikie lengo la ukombozi kuwachafua na kila hila kama heche alinyweaq yeye kuene atakuwa alikuwa wapi? HECHE ALIFIKA KIMARA SAA1 KAMILI ASUBUHI NA KWA HALI ALIYOKUWA NAYO NA JINSI VIJANA WAKE na madiwani aliokuwa ameongozana nao kama diwani wa sinza mbezi kimara na kawe leo kama sio kaulia ya mbowe hali ingekuwa ngumu kwa jeshi la policcm
   
 19. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  yaani heche aliwapangisha parade jamaaaa hawa
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Da kweli hawa Policcm wanechoka kama nn
   
Loading...