Hebu WANAUME tukae kitako tujadili haya . . . .!!

hiyo ni hofu sio heshima. mwanaume wa leo needs empathy, a caring heart na aweze kucheza na wanawe; the rough guy from yester-year is gone. Move on au tafuta mwanaume wa kijijini.

Unaona sasa, ndo mana wanaume wa leo mnapigwa vibao na wake zenu! Kalagabaho
 
ukahaba, small house na mimba yote hayo ni matatizo ya wanawake sio mwanaume. hapa duniani mwanamke lazima atatogozwa tuu na yeye ndio mwenye msimamo wa mwisho kama hataki kumegwa hamegeki.
mimba biologically ni mwanamke ana determine kama anapata au lah...kama demu hataki mimba basi mwanawane utatwanga K mpaka mwisho na hamna kitu.
ukahaba well thats just kukosa maadili on their part.
hapo kwenye RED nakubali kwa asilimia zote. always mwanamke ndo mwenye say kwenye kuanzisha mahusiano, kama hataki hataki. kutongozwa hakukwepeki
 
Mwanaume anayekaa kitako kuadili mambo huyo ni mmbea. Wanaume tunaElekezana issues muhimu tukiwa kaunta huku tunachangia pato la taifa kwa moja moto na nyingine baridi. Wanaume hatujadili bali tunatendea kazi waliyojadili wanawake.
 
Fixed Point ,unamtoaje kwenye kitanzi mtu mwenye akili timamu,anajua ana mke,watoto anakwenda kumtongoza mwanamke anamjengea nyumba huku mkewe amepana na watoto wanashindia ugali na kauzu?U can't be sirious!!
 
Last edited by a moderator:

Kwako kuwa kaunta ndo mambo ya msingiee!!Jikague upya!
 
Ni jambo la kusikitisha sana mwanaume anaetarajiwa aoneshe njia kwa mkewe na wanae anashabikia mambo ya hovyo kama nyumba ndogo,ulevi na mengine ya hovyo kama hayo.Hiyo hela unayotumia nyumba ndogo kwa nini usiwape wanao hata wakanunue suruali na gauni,hii ni aibu!
 
Fixed Point ,unamtoaje kwenye kitanzi mtu mwenye akili timamu,anajua ana mke,watoto anakwenda kumtongoza mwanamke anamjengea nyumba huku mkewe amepana na watoto wanashindia ugali na kauzu?U can't be sirious!!
Eiyer sijui kwa nini umeniuliza hili swali
 
Last edited by a moderator:
Angalia kwenye post yako uliyoweka RED kisha kagua ulichokubali!
hapo mimi nilichokubali kuhusu kuanzisha mahusiano mapya, siyo kwa watu ambao tayari wapo kwenye mahusiano. kama mume kaamua kutelekeza familia na kupeleka mtaji wote kwa jirani, hayo hayaingiliani na ninalokubali mimi
 
Ni jambo la kusikitisha sana mwanaume anaetarajiwa aoneshe njia kwa mkewe na wanae anashabikia mambo ya hovyo kama nyumba ndogo,ulevi na mengine ya hovyo kama hayo.Hiyo hela unayotumia nyumba ndogo kwa nini usiwape wanao hata wakanunue suruali na gauni,hii ni aibu!

Nini suruali na gauni? Watoto washajengewa nyumba kila mmoja. Na wote wameshafunguliwa akaunti zenye hela za kuwatosha ili watakapomaliza chuo kikuu waanze maisha bila kumtegemea mtu. Usisahau vyuo vikuu hawasomeshwi kutegemea vimkopo vya HESLB.
 
Mwanaume anayekaa kitako kuadili mambo huyo ni mmbea. Wanaume tunaElekezana issues muhimu tukiwa kaunta huku tunachangia pato la taifa kwa moja moto na nyingine baridi. Wanaume hatujadili bali tunatendea kazi waliyojadili wanawake.

Sijui kwa nini kitufe kinatoa like moja tu. Kweli kabisa sisi tuna mahali petu maaalum pa kukutanika na ku-finalise masuala muhimu ya ujenzi wa taifa na familia, na always hoja moja haizidi dakika 10 kuipatia ufumbuzi.
 
hapo mimi nilichokubali kuhusu kuanzisha mahusiano mapya, siyo kwa watu ambao tayari wapo kwenye mahusiano. kama mume kaamua kutelekeza familia na kupeleka mtaji wote kwa jirani, hayo hayaingiliani na ninalokubali mimi

Kwani hapa tunazungumzia kuanzisha mahusiano halali?
 
Sijui kwa nini kitufe kinatoa like moja tu. Kweli kabisa sisi tuna mahali petu maaalum pa kukutanika na ku-finalise masuala muhimu ya ujenzi wa taifa na familia, na always hoja moja haizidi dakika 10 kuipatia ufumbuzi.

Umeona eh? Kukaa kitako ni umbea kama wafanyavyo wabunge wetu. Too much talking talking utekelezaji sifuri. Nyambaf hebu itia mimi wanaume wenzetu BAGAH, Erickb52 Mr Rocky, Judgement, Kaizer na wengine tukapeane ishu za kukamata mshiko. Mwanaume hasifiwi kwa kukaa kitako bali kutafuta mishiko ya kuendeleza familia.
 
Last edited by a moderator:
Nini suruali na gauni? Watoto washajengewa nyumba kila mmoja. Na wote wameshafunguliwa akaunti zenye hela za kuwatosha ili watakapomaliza chuo kikuu waanze maisha bila kumtegemea mtu. Usisahau vyuo vikuu hawasomeshwi kutegemea vimkopo vya HESLB.

Ndo uwezo wako wa kufikiri ustawi wa familia umeishia hapo??
 
Sijui kwa nini kitufe kinatoa like moja tu. Kweli kabisa sisi tuna mahali petu maaalum pa kukutanika na ku-finalise masuala muhimu ya ujenzi wa taifa na familia, na always hoja moja haizidi dakika 10 kuipatia ufumbuzi.

Kweli sasa WANAUME tumebaki wachache sana!!
 
Back
Top Bottom