Hebu tuwe serious, kweli mnaamini CCM ilipita kwa kishindo Kilimanjaro?

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,322
Huwa kuna muda nikitafakari uchaguzi wa mwaka jana. Kweli CCM eti wameshinda viti vyote Kilimanjaro nakosa hata pozi. Hata ukisema unajaribu ku-calculate unaona hapa kabisa equation hai balance.

Ila anyway nature ita deal nao mmoja baada ya mwingine wale wote waliopita pasipo baraka za wananchi.
 
Nchi hii haihitaji uchaguzi,nikupoteza fedha kwa jambo linaloratibiwa na taasisi nyeti kuwahadaa wananchi.

Ni muda mwafaka jeshi litusaidie akili zikae sawa.

Mwenezi anamwagiza IGP?
 
Sio tu Arusha, Tanzania nzima ccm tulipata ushindi wa LUSHINDO.
LUSHINDO ndio nini

0FAE26AC-DB71-4FAF-84E1-E0D33A831739.jpeg
 
Nchi hii haihitaji uchaguzi,nikupoteza fedha kwa jambo linaloratibiwa na taasisi nyeti kuwahadaa wananchi.

Ni muda mwafaka jeshi litusaidie akili zikae sawa.
Mwenezi anamwagiza IGP?
Sijui ccm wanajisikia je yaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom