Elections 2015 Hebu tuwe serious, hivi kuna mtu ana akili timamu anategemea Magufuli atakuwa Rais?

nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba magufuri atakua rais wa tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba magufuri anaweza kua rais wa tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.
pole sana.
 
Lowasa ni mkombozi wa Taifa hili tu waliobaki wananufaika na mfumo kandamizi wa CCM

ImageUploadedByJamiiForums1441209750.321066.jpg
 
Unapokuwa una kashifu wengine na kuwaona vichaaa na kadhalika, inawezekana kabisa wewe ndio unaonekana Kichaa. If i were yu (Whoever is using abusive languege) i would save my words for God knows wea z proper. Iyo yte Ni panick
 
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.

unatakiwa umlaumu baba yako kukuzaa njee ya ndoa mpaka leo unaitwa mtoto wa hawala ndio maana huna adabu
 
Hebu wewe niambie magufuri ana sifa gani ya kumfanya awe rais. Tukiweka ushabiki wa vyama na ccm wanajua watu mnapenda chama na sio mtu ndio maana wanaweza kuteua hata taahira na akashinda uchaguzi maana wanajua watanzania hawapimi uwezo wa mtu wanapenda chama.

Magufuri ana nini cha kumfanya awe raisi,magufuri is a good manager not a leader, magufuri anatakiwa kupewa terms of reference na scope of work hapo ataweza lakini sio uraisi.

Urais is tooo big kwa magufuri, ni kumuonea kumpa urais, hata yeye anakiri alikua anajua hawezi na hatoshelezi kua rais kikwete ndio kampigia sim kumlazimisha achukue form.

Kikwete kwa kua anajua aliokota dodo kwenye mpilipili kafanya kila kitu rahisi anadhani anaweza kutuletea mtu hovyo kama yeye atuongoze tena kwa miaka 10, hili litakua taifa la mazezeta na sio watu wwnye akili kuwapa watu wasio na uwezo kwa awamu mbili watuongoze, nu maajabu ya dunia.
Kama hujui Lowassa ndio zero kabisaaa. Hafai na wala hawezi. Kwa sababu sisi hatujaona footprint kwa Lowassa bali ubaya tu kila alipopita. Na kiuwezo hasa wa mambo hakuna shaka Magufuli ni Mlima na Lowassa ni kichuguu tu basi
 
Vise versa is true
 
Unae sema magufuli Ni just a Manager, is it bcoz sm1 with so much influence said it.... Alafu naww jiongeze magufuli alikuwa under someonez lead N so aka abide na hilo na akafanya aliyopaswa afanye, unaesem yy Ni Manager Plz justify yua course somemore. Halafu na Mh Magufuli kwasababu hatujawai kumpa nchi Embu tusimpakazie. Tunaofany ivyo tunaonyesha tuu kuwa tumepanick
 
Magufuri hamuwezi lowassa, magufuri ana uwezo mdogo sana. Magufuri hana sifa ya kua kiongozi mkubwa kama raisi, magufrrui ni manager mzuri lakini sio kiongozi. Magufuri hana sifa ya kua rais wa nchi, hiyo itajua blni qjabu sana na itaingia kwenye rekodi za dunia,watanzania tutaonekana vilaza sana kama tutampitisha magufuei kua rais
 
Unae sema magufuli Ni just a Manager, is it bcoz sm1 with so much influence said it.... Alafu naww jiongeze magufuli alikuwa under someonez lead N so aka abide na hilo na akafanya aliyopaswa afanye, unaesem yy Ni Manager Plz justify yua course somemore. Halafu na Mh Magufuli kwasababu hatujawai kumpa nchi Embu tusimpakazie. Tunaofany ivyo tunaonyesha tuu kuwa tumepanick
Magufuli ni MANAGER wa Mungu, kaZi atapiga tu!
 
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.

Nadhani ni mazezeta watupu wanaweza kuamini fisadi papa litakuwa rais. Ni zaidi ya utaahira kuamini ENL atakuwa rais. Vema mumshauri apumzike na kuzurura.
 
Mimi nina akili timamu na ndivyo itakavyokuwa, hutaki HAMA nchi.

Unaweza kua na akili timamu baada ya kua released toka milembe na dk akakupa mental disorder clearance certificate kwamba sasa unaweza kuchangamana na watu wa kawaida ila nyumbani una cheti cha milembe.

Ukifanya tukio la ajabu kama la kumchagua magufuri ndio watu watajiuliza kama zinakutosha na watagundua uliwahi kupelekwa milembe.

Nakubaliana na mtoa mada kwamba ni watu waliowahi kwenda milembe tu wanaweza kumchagua magufuri.
 
Mtoa mada yuko hospitali. Msameheni. Malaria imepanda kichwani. Tatizo la ukawa, wanaongozwa na mgonjwa basi tena, wote hoi. Ila watakufa November
 
Ukawa wÃ-naumwa kwasababu kama mgombea wenu ndo picha ya wenzie walivyo basi Ukawa wana matatizo kama babu yao ..wanatakiwa waelekezwe muhimbiri badala ya kuendelea kujiumiza na masindano ya masaa wanayochomwa kama ng'ombe wa maziwa
 
Back
Top Bottom