Elections 2015 Hebu tuwe serious, hivi kuna mtu ana akili timamu anategemea Magufuli atakuwa Rais?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,448
17,147
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.
 
Anatia huruma huyu baba

Ona alivyozungukwa hapa chini

Upande mmoja kuna muuza twiga na upande mwingine kuna mzee wa meno ya tembo

wengine ni kanda maalumu ya hao wawili

30.jpg
 
Hao wote mwisho wao ni mwaka huu mwezi wa kumi. Tutawapeleka mahakamani.
 
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.

Akili zako fupi wewe! Wewe mwenye busara na diplomasia kagombee sasa .
 
Mungu aliepushe taifa hili na kuongozwa na mtu asiye na uwezo wala sifa yoyote kama Magufuli,huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi,aende zake huko,rais wa Tanzania ni Lowassa.
 
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.

Naona wewe ujitambui ndio wakupelekwa mire be!
 
lowasa anafaa kua rais lakini sio sasa manaake bado anatafuta matatizo ya wananchi, miaka mitano inamtosha kukamilisha kazi hiyo sababu mpaka sasa ivi hajui atatatua nini..
 
Naona wewe ujitambui ndio wakupelekwa mire be!

Hebu wewe niambie magufuri ana sifa gani ya kumfanya awe rais. Tukiweka ushabiki wa vyama na ccm wanajua watu mnapenda chama na sio mtu ndio maana wanaweza kuteua hata taahira na akashinda uchaguzi maana wanajua watanzania hawapimi uwezo wa mtu wanapenda chama.

Magufuri ana nini cha kumfanya awe raisi,magufuri is a good manager not a leader, magufuri anatakiwa kupewa terms of reference na scope of work hapo ataweza lakini sio uraisi.

Urais is tooo big kwa magufuri, ni kumuonea kumpa urais, hata yeye anakiri alikua anajua hawezi na hatoshelezi kua rais kikwete ndio kampigia sim kumlazimisha achukue form.

Kikwete kwa kua anajua aliokota dodo kwenye mpilipili kafanya kila kitu rahisi anadhani anaweza kutuletea mtu hovyo kama yeye atuongoze tena kwa miaka 10, hili litakua taifa la mazezeta na sio watu wwnye akili kuwapa watu wasio na uwezo kwa awamu mbili watuongoze, nu maajabu ya dunia.
 
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania?

Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is special kwa magufuri.

Magufuri kua rais itakua ajabu au maajabu ya dunia,itakua ajabu mpya duniani,new world wonder na itakua kivutio cha utalii.

Only milembe refered individuals wanawaza kwamba Magufuri anaweza kua rais wa Tanzania. Magufuri kila alichokifanya alifanya chini ya kiwango, ni mtu wa idadi na sio ubora.

Unakuta anajisifu kwa mibarabara mirefu alafu mibovu,hana traits za uongozi,hana calibre ya uongozi,hana sifa ya uongozi. Magufuri anafaa kuongozwa na kupewa maelekezo sio yeye kuongoza. Hilo tuliona kipindi anakurupuka kufungia malori ikabidi waziri mkuu amuongoze,hana busara,hana diplomasia ambayo ndio sifa kuu moja wapp ya kiongozi mkuu.
Ni wendawazimu na vichaa tu wanaamini magufuri atakua raisi.

Hebu kwanza tujikumbushe maneno ya makamanda wetu
 
Sasa wewe unasikiliza maneno ya mtaani, wambie wakupe ushahidi. Kama maneno, mbona Kikwete aliahidi maisha bora KWA KILA MTANZANIA, lakini anaondoka anasema Mimi ntakuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania maskini? CCM tupa kule. Nshapigwa burn, staki kuongea sana.
 
1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani-Freeman Aikaeli Mbowe;
2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka-Mch. Peter Msigwa
3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika.
4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana-Tundu Lissu.
5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa-Halima mdee
6. I thought safari ya Matumaini was poorly organized, imekuwa safari ya marumizi
7.Taarifa kwa Umma: Serikali iache kumlinda Lowassa , ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond. Akamatwe, ahojiwe na achukuliwe hatua za kisheria- Yeriko Nyerere
8. Wakati Mwakyembe na Magufuli wakiwajibika kulitumikia taifa , kuna Mapaka shume yanatembea Makanisani na Misikitini yakisaka urais-Yeriko Nyerere
8. Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu FISADI kama Lowassa-Godbless Lema
9. Pamoja na haki ya kila mtu kugombea urais ,kwa hawa walioomba kutoka CCM, I don't see talent , kwangu mimi wote ni average brain-Peter Msigwa' s tweet 09/06/2015
10. Mtu anayetaka nafasi urais, lazima awe tayari kujipima, kujitafakari, kujiridhisha kuwa anatosha, yeye mwenyewe kwanza, afanye hayo, ajipime , ajitafakari na ajiridhishe kuwa anatosha:
¡ kiafya
¡¡ kiakili
¡¡¡ kimaadili
¡v kidhamira
Lazima ujipime hayo kama unapungukiwa na mojawapo kati ya hayo, hufai, lakini la pili uwe tayari Umma kukupima katika hayo niliyoyataja, uwe tayari Umma ukupime kiafya, kiakili, kimaadili na kidhamira, siyo unajipima tu mwenyewe na unasema , mimi sawasawa, A a a a, na Umma nao ukupime- Fredrick Tluwaye Sumaye( Video yake ipo niliiweka asubuhi)
11. CCM mkimpitisha Lowassa nahama Chama-Sumaye

12. Njaa hadi kwenye nyumba za ibada, Wachungaji wa makanisa mbalimbali ya Kikristo wakiandamana muda huu kwenda nyumbani kwa Edward Lowassa kumshinikiza achukue fomu ya kugombea urais. I hope Mapadre hawamo humo. Mungu atuepushe.
Yaani Kanchi ketu haka kanaendeshwa kwa ujanja ujanja na wiziwizi tu. Mtu akiwa na hela zake basi anafanya jambo lolote tu-Julius Mtatiro
13. Lowassa ni dhaifu-MBOWE
14. #KATAALOWASSAKWENDAIKULUJIZIII!-Yeriko Nyerere
 
Lowasa ni mkombozi wa Taifa hili tu waliobaki wananufaika na mfumo kandamizi wa CCM
 
Back
Top Bottom