Hebu tuutazame huu Mgao wa umeme wa sasa....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu tuutazame huu Mgao wa umeme wa sasa....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Konakali, Aug 19, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni jana mbunge wa Nyamagana aliomba kutoa hoja bungeni kutokana na adha ya umeme unaosadikika kukoseka katika Jiji la Mwanza kwa siku 4 mfululizo, Arusha, Mbeya, Kigoma na baadhi ya sehemu za Dar es Salaam....! Nikijaribu kutazama na kufikiri harakahara, na kulinganisha na political positions katika maeneo hayo. binafsi napata wasiwasi....! Je, wenzangu mnaonaje?
  Nawasilisha...!
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  wasiwasi juu ya hilo.!
   
 3. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  hizi ndizo ishara za mwisho za utawala na enzi za ccm na wala tusiwalaumu mana hakuna mfumo wowote wa utawala duniani unaodumu milele. go cdm go the true light is coming!
   
Loading...