Hebu tutazame timu iliyomzunguka Spika Job Ndugai

Safari hii Bunge kwa Mara ya kwanza limekutana Na Chuma Cha Pua ambacho kipo tayari kupoteza cheo Kuliko kunajisi Taaluma yake!

Taaluma yake inamtaka aseme Bunge Ni dhaifu wakati Siasa inamtaka asithubutu kusema Bunge dhaifu

Kasimama Na Taaluma Na Imani yake kutamka anachokiamini sahihi

Team Maslahi tungesimama upande wa Ugali
Hahahaa.........huyu amenikumbusha rip Prof Kighoma Ally Malima!

Ni kazi sana kuwapata watu aina ya Assad au Zitto wa " Buzwagi" katika ulimwengu wa sasa!
 
Penye kenge na mamba hawakosi
Kuna msemo unaosema kawa ukitaka kumjua kiongozi tazama watu wake wakaribu waliomzunguka

Naamini kuwa Spika Job Ndugai lazima atakuwa kazungukwa na team nzito sana ya wasomi wa hali ya juu ambao wana uwezo, ujuzi na weledi uliotukuka.

Je team speaker ni akina nani? Elimu zao ni zipi? wamefanikiwa au wamefanikisha mambo yepi kwenye maisha yao ya public and Private? Na je waona mbali? Je wamefanyiwa extended vetting? Je wana ni watu ambao wameweka maslahi ya taifa mbele?

Je kwa haya yanayoendelea wana role zipi? Na hata kama maamuzi na matamshi ya spika kwenye hili sakata lake na CAG si ya spika moja kwa moja je hii team yake wamempa ushauri wenye maslahi kwa taifa?

Je hii ni team ya YES SPEAKER au ni watu embao wako independent minded with conviction? Je wako principled?
 
Safari hii Bunge kwa Mara ya kwanza limekutana Na Chuma Cha Pua ambacho kipo tayari kupoteza cheo Kuliko kunajisi Taaluma yake!

Taaluma yake inamtaka aseme Bunge Ni dhaifu wakati Siasa inamtaka asithubutu kusema Bunge dhaifu

Kasimama Na Taaluma Na Imani yake kutamka anachokiamini sahihi

Team Maslahi tungesimama upande wa Ugali
Hajasema bunge ni dhaifu baki udhaifu wa wa bunge kufuatilia audit querries ilmakosa yasijirudie.
 
Hii timu mhh kifungu na 143 cha katiba mi ndo nmekisoma nashauri na wao wasome pia
 
Back
Top Bottom