johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,827
- 141,733
Hahahaa.........huyu amenikumbusha rip Prof Kighoma Ally Malima!Safari hii Bunge kwa Mara ya kwanza limekutana Na Chuma Cha Pua ambacho kipo tayari kupoteza cheo Kuliko kunajisi Taaluma yake!
Taaluma yake inamtaka aseme Bunge Ni dhaifu wakati Siasa inamtaka asithubutu kusema Bunge dhaifu
Kasimama Na Taaluma Na Imani yake kutamka anachokiamini sahihi
Team Maslahi tungesimama upande wa Ugali
Ni kazi sana kuwapata watu aina ya Assad au Zitto wa " Buzwagi" katika ulimwengu wa sasa!