Hebu tusaidiane hapa hili Swala

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
336
560
Ni Tanzania pekee ambapo mwanajeshi kikatiba inasema hairuhusiwi kushiriki siasa na anatumia jeshi enzi zote za ujana wake anastaafu mwaka mmoja baaadae anapewa nafasi nyeti kwenye chama

Jiulizee ukipata majibu nijuze namm
 
Back
Top Bottom