Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Mwanamke: Mchangamfu, Mwerevu, Modernist, Humble

Mpira: Globally: Manchester United FC
TZ-Simba FC

Timu ya taifa: Belgium

Wachezaji bora wa muda wote: Christiano Ronaldo, Erick Cantona, David Beckham, Wayne Rooney, KDB

Muziki: Fair old vs modern Rhumba (my best Franco vs Madilu), R n B, fare Rap vs Hip Hop, Pop, Sweet Reggae vs Riddim, East African Flavor, Naija loaded, Fair SA flavor.

Vinywaji: Fermented drinks and water as pie

Msosi: Grilled meat, fair fried stuffs, ndizi vs utumbo

Movies: Action vs Intelligence/spy

Mtandao bora: Jamiiforums, Redit, Quora, Android forums, YouTube, wikiHow, All Football, TV Time, space science

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha
 
Mpira : Chelsea..Barcelona..PSG...Simba SC.
Mchezaji Bora : Messi.
Africa: Salah
Movies : Merlin, The Passage
Artist :Michael Bolton
... How i am supposed to live without you.

Kinywaji. : Bia


I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
Unapiga biaaa
 
Wanawake weupe
Mrefu, hata mfupi sawa, mwembamba ila awe na ka shape flani ivi yan hata akivaa dela chura niwe naiona
Asiwe bonge

Mpira
Club
Simba
Man United
Real madrid

National team France

Mchezaji bora kwangu muda woote ni zinedine yazid zidane
Muziki
Hip hop
Msanii bora muda wote kwangu ni drake
Chama changu ugali
Raisi wangu jembe
Haha
 
Hips ziwe za kweli yaan full
Simba
Manchester United
Magician
Vilivyobaki vyote nabadilika kulingana na mazingira
 
Muziki-wowote utakaonivutia
Wanamuziki-Ally kiba,daimond,darasa,rayc,davido,wizkid
Hip hop-Nick minaj,the game,lily wine
Mwanasiasa naowapenda-Trump,lissu,halima mdee
Vinywaji-wine,maji,juice,whisky ,serengeti lite
Mpira-simba ,barca
Wachezaji-Messi,Okwi,Neymar,
Mwanaume-G wangu ana sifa zote nazozipenda
Mitandao-jf,instagram,wasap
 
Siasa kwa mimi huku nchi yetu bado hatujapata uhuru ndugu zangu Mr bean ndo msanii wangu wa kuchekesha muda wote

Kuna jamaa anaitwa da vinci humu jamii forum ndo kanishawishi kujiunga humu ila yeye mwenyewe hilo halijui

Nina mashaka na mshana jr kuwa sio mtu wa kawaida kwahiyo ni mtu ninae muogopa

Timu ninayoipenda ni ile RAJA CASABLANCA ambayo walimuibia RONALDINHO jezi viatu na suti yaani kila kitu

MCHEZAJI NINAE MPENDA NI C.RONALDO TENA KWA SABABU MOJA TU Alimnyima jezi baada ya mpira kuisha mchezaji wa ISRAEL alivyomuomba baadae ronaldo aliuliza akasema " watu wa israel wanawaonea sana watu wa palestina"

MSANII NINAE MPENDA KUNA NCHI MOJA INAITWA tanzania sijuvilei kuna msanii anaitwa Ally kiba tena nampenda kwa sababu moja tu kuna msanii mwenzake alimpa mkono walivyokutana msiba yeye ally kiba akapindua mkono akampa nyuma ya kiganja

Nchi ninayoipenda ni marekani kwa sababu hawapendi ujinga ujinga kama hunabisha kawaulize CHINA

AHSANTENI
 
Time yangu Simba sport club

Taifa. France

Mchezaji wangu bora ni Rwanyamila #Rip

Chama changu cha siasa Chadema

Mwanasiasa wangu bora Mbowe au kamanda wa Anga


Muigizaji wangu wangu wa mda wote Magufuli.


🤣🤣🤣🤣 umenibariki line y mwisho jamn🤣🤣🤣!kwamba Magu ana ukaole🤣🤣
 
Muziki-wowote utakaonivutia
Wanamuziki-Ally kiba,daimond,darasa,rayc,davido,wizkid
Hip hop-Nick minaj,the game,lily wine
Mwanasiasa naowapenda-Trump,lissu,halima mdee
Vinywaji-wine,maji,juice,whisky ,serengeti lite
Mpira-simba ,barca
Wachezaji-Messi,Okwi,Neymar,
Mwanaume-G wangu ana sifa zote nazozipenda
Mitandao-jf,instagram,wasap
Kumbe inawezekana kumpenda kiba na domo kwa wakati mmoja??
 
Aina ya wanamwake wanaonivutia: Slim Black woman.
Kinywaji : any Lite beer
Timu : Man utd na Simba SC
Siasa : Chadema & Mbowe
Hobbies : Kuangalia mpira, Kuimba & kusikiliza Old Musics
 
Back
Top Bottom