Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Shabiki namba moja wa Newcastle United Tanzania
The Magpies
Toon Army
HowieTheLad

Na soka ndiyo ulevu wangu namba moja
Napenda kubet saaaaaaaaanaaa

Namkubali Samuel Eto'o Phils

Nina uchizi na muziki hasa wa nyimbo za injili
Napenda sana kazi za Suleimani Wilson (unaweza tafuta nyimbo zake na kunipa mrejesho) Napenda kuimba kwa kupiga kelele sana naposikiliza muziki

Sizipendi Smba na Yanga kutoka moyoni natamani siku moja zishuke daraja
hiyo paragraph ya mwisho upo kama mimi!!
 
Wanaume wafupi wametengwa humu jamani.

Wanaume:napenda wanaume wafupi

Shukrani ziwafikie wanaume wote walioandika wanawake warefu/ wafupi kwao sawa tu.

Mtandao Bora:Jamii forum

Mengineyo: mfuata mkumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom