Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Nakumbuka niliweka kipande cha tangawizi, chupa ya pilipili na maji tu hamna kngne nlichoweka
 
ase Wakuu mnawezaje kutunza had vinywaji ?
yan mimi nikiweka hata soda mbili tu usiku sipati usingizi nabaki kulizunguka friji
Roho inanambia "my bro stop cheating your self kunywa izo soda ulale""

Saiv friji limebaki la kuwekea makabichi tu
Hii comment hua nikiisoma nacheka sana!
 
😊
 

Attachments

  • 20231207_090144.jpg
    20231207_090144.jpg
    22.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom