Hebu tukuze lugha yetu kiswahili kwenye hili

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,282
Asilimia 80% Kiswahili ni lugha iliyozaliwa kutokana na kibantu na kiarabu,achilia mbali maneno mengine ya makabila na lugha zingine za kimataifa kama Kijermani na Kingereza.

Kwanini watanzania hawaipendi lugha yao japo ndio wanayoongea muda wote??? (Ujinga huu)

FUATILIA HILI:- Kwa sasa karibu simu zote za mkononi zina lugha ya kiswahili lakini angalia mtumiaji wake ameset lugha gani??
[KISINGIZIO CHA KIJINGA] eti "kiswahili kigumu" wakati huo hata kingereza hajui. Ujinga huu umefanya hadi kiswahili kimataifa kionekane kinatokea Kenya.
Angali picha chini.

Kuna mpango unaendelea wa kutafsiri bot wa telegram aweze kuongea lugha mbalimbali, wenzetu tayari.... jamaa(developer)alijua kiswahili ni cha Kenya,ila nilijiunga kwenye group nikamwambia aweke Tanzania na tayari kuna kiswahili mara 2 ya Kenya na Tanzania...

Kazi iliyobaki ni watu sasa wa kutafsiri,kama unaoenda ingia hapa Log In - Crowdin

Mm nimejitahidi angalao 15% japo tuna uchache wa maneno mapya lakini hii ni njia mojawapo ya kukuza lugha yetu.

Bot mwenyewe huyu hapa Rose
Karibuni.
Screenshot_20190128-201446.jpeg
Screenshot_20190129-111308.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1007878View attachment 1007881

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hii ni kweli kabisa tupenda vyetuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom