Hebu tujuzane benki zinazotoa rates nzuri iwapo uta-fix hela kwenye account

Bonds inayo-mature kwa miaka 2 unalipa withholding tax(10%).

Bonds zinazo-mature kwa miaka 5,7,10 hizo haulipii w/holding tax(ziko exempted).
Du nilidhani ni free. Shukrani sana. Na kwa mfano ukiwa na bilion 1 ukinunua bonds ya muda wa mwaka unalipwa rate gani kama faida? Kama unajua tafadhali nifahamishe.
 
Hapo kuna vitu viwili.

Treasury Bills-hizi zina mature ndani ya mwaka 1.

Treasury Bonds-hizi zina mature baada ya mwaka 1.

Kwa hio kwa kua umeulizia inayo-mature kwa mwaka mmoja then unaangukia kwny Treasury Bills hapo.

Kwny treasury bills utachagua unataka maturing period yako ni muda gani maana zimegawanyika ktk vipindi 4:

Zinazo-mature baada ya siku 35,siku 91,siku 182 na siku 364 na interest zake ziko kama hivi (mpk kwa mwezi wa Sept nilipofuatilia).

Siku 35 ni 1.99%

Siku 91 ni 3.50%

Siku 182 ni 4.24%

Siku 365 ni 5.91%

Na hizi % hua zina-flactuate kulingana na mnada wenyewe,na kwa sasa serikali inapeleka nguvu nyingi zaidi kwny Treasury Bonds kuliko hizi Treasury Bills maana hizi serikali inatakiwa ilipe hela hio pesa mapema sana kwa waliozinunua tofauti hizo T/Bonds.

Kwa hio mzee baba hapo chukua hio 1bil times hizo interest kulingana na muda unaotaka iwe matured.
 
Asante kwa shule. Hata sikujua kama kuna Bills na Bonds! Na hiyo Bonds mahesabu yake yakoje kwa hiyo bil 1?
 
Mkuu Kama una milion 30 unamshauri mtu achukue bonds za namna gani ili aendeshee maisha mdogo mdogo?

Faida ikoje ?
Mkuu inategemea na wewe mwenyewe unataka u-invest kwa muda gani maana zimegawanyika mpk pesa yako kua matured,ziko za baada ya miaka 2, 5, 7, 10, 15 na 20 mkuu.

Ni somo complicated kidogo lkn tunaweza kueleweshana mdogo mdogo.
 
Nenda ka fix tumilioni twako jamuhuri ikwapue utasikia tu text ya muala aka bank alert ,

"hongera umefanikiwa kukatwa milion tano za ujenzi wa reli "

Apo ndio utajua kwanini kuku ni jamii ya ndege na samaki sio jamii ya meli
Mshenzi sana(jokes) umenifanya nicheke kifala aisee
 
Mkubwa mwenye 100m na mwenye 3m wanapokelewa tofauti!
Negotiations zipo wewe fanya window shopping nenda banks tofauti, zingine ukisema m100, wanakupa kahawa usubirie kuonana na branch manager. :D

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Hapo kuna vitu viwili.

Treasury Bills-hizi zina mature ndani ya mwaka 1.

Treasury Bonds-hizi zina mature baada ya mwaka 1.

Kwa hio kwa kua umeulizia inayo-mature kwa mwaka mmoja then unaangukia kwny Treasury Bills hapo.

Kwny treasury bills utachagua unataka maturing period yako ni muda gani maana zimegawanyika ktk vipindi 4:

Zinazo-mature baada ya siku 35,siku 91,siku 182 na siku 364 na interest zake ziko kama hivi (mpk kwa mwezi wa Sept nilipofuatilia).

Siku 35 ni 1.99%

Siku 91 ni 3.50%

Siku 182 ni 4.24%

Siku 365 ni 5.91%

Na hizi % hua zina-flactuate kulingana na mnada wenyewe,na kwa sasa serikali inapeleka nguvu nyingi zaidi kwny Treasury Bonds kuliko hizi Treasury Bills maana hizi serikali inatakiwa ilipe hela hio pesa mapema sana kwa waliozinunua tofauti hizo T/Bonds.

Kwa hio mzee baba hapo chukua hio 1bil times hizo interest kulingana na muda unaotaka iwe matured.
Hizo rate ziko per annum zote au Ni kwa hizo siku tajwa?
Yaani mfano nikinunua inayo mature baada ya siku 91 hela yangu itaongezeka kwa 3.5% au ndio 3.5% /365
 
Mkuu inategemea na wewe mwenyewe unataka u-invest kwa muda gani maana zimegawanyika mpk pesa yako kua matured,ziko za baada ya miaka 2, 5, 7, 10, 15 na 20 mkuu.

Ni somo complicated kidogo lkn tunaweza kueleweshana mdogo mdogo.
Hiyo miaka interest Yake ikoje ?
 
Hahaha asikusema hatukumuonya mkuu
Kabsa kwanza kuweka pesa fixed inatakiwa usiwe na pesa ya mawazo na pili usiweke kwenye bank zisizoeleweka.
Binafsi sina pesa ya kuweka pesa fixd ac kwa usawa huu wa huyu mzee maana unaweza amka na kupata habari usizozitarajia.
 
Cha msingi ujue hizo riba hazipishani sana kati ya ma-bank na uwe na mpunga wa kutosha.

Mfano:

Bank ya DTB ukiwa na chini ya Tsh. 100mil interest kwa mwaka ni 5.75%,

Tsh.100mil-500mil interest ni 6%

Tsh.500mil-1000mil interest ni 6%

Fanya Hesabu rahisi tu:Umeweka mpunga wako kwny bank hio kwa hio miezi 3,umeweka labda Tsh. 10mil ,then:

10mil×3/12×5.75%=Tsh.143,750

Then toa 10% withholding tax ya serikali hapo:

143,750-(143,750×10%)=Tsh.129,375

Is it worth? Sijui

Najua sijajibu swali lako la msingi khs bank gani ina riba kubwa lkn on average sidhani kama itazidi 7% p/annum,Sina uhakika lkn.
'is it worth?'., Kwangu ni NO

Kama wao wakikopesha wanachukua mpaka 18% monthly, plus charge nyingine za kuprocess mkopo na za kibenki...

Nadhani hii kitu ibaki tu Kama unatakata kupoza kichwa moto Kama walimu wastaafu wenye watoto wasumbufu
 
Kabsa kwanza kuweka pesa fixed inatakiwa usiwe na pesa ya mawazo na pili usiweke kwenye bank zisizoeleweka.
Binafsi sina pesa ya kuweka pesa fixd ac kwa usawa huu wa huyu mzee maana unaweza amka na kupata habari usizozitarajia.
siku yakwenda kuchukua mpunga wako unakutana na protokali za kutosha mara wanaomba maelezo ya hizo hela zilivyopatikana namchanganuo wakodi uzikabidhi mpunga kwa dpp usamehewe au ukajisaidie kwenye ndoo for a very long time 😀
 
'is it worth?'., Kwangu ni NO

Kama wao wakikopesha wanachukua mpaka 18% monthly, plus charge nyingine za kuprocess mkopo na za kibenki...

Nadhani hii kitu ibaki tu Kama unatakata kupoza kichwa moto Kama walimu wastaafu wenye watoto wasumbufu
Major revenue ya benki ni 'interest' na 'bank charges'...bila hiyo revenue hakuna benki

ndo mana yeye lazma apate zaidi
Anakupamba tu na some deposit benefits ili umpe hela yako aizungushe
 
Sasa hivi ukiweka deposite yako nzuri jiandae na kuitwa polisi kujibu "Kwa nini una hela nyingi kwenye huu uchumi wa kati" ukijifanya mjuaji jiandae na vitisho "Chagua moja kuendelea kufuatilia hela zako ama upate kesi ya uhujumu uchumi" Bank za bongo zinapitia wakati mgumu sana
 
Kabsa kwanza kuweka pesa fixed inatakiwa usiwe na pesa ya mawazo na pili usiweke kwenye bank zisizoeleweka.
Binafsi sina pesa ya kuweka pesa fixd ac kwa usawa huu wa huyu mzee maana unaweza amka na kupata habari usizozitarajia.
Umedeposit ka 10M kako, unasikia MUFILISI, unaruhusiwa kuchukua Max 1.5M.
Biblia inasema kutakuwa na kilio na kusaga meno:D😆😅😂🤣

Back
Top Bottom