Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 917
Huwa nikikaa natafakari tulipotoka nacheka sana. Shule ya msingi wadada walikuwa wababe, darasa la kwanza la Pili la tatu hivi. Niliwahi kula makofi toka kwa monitor wa kike darasa la kwanza hatari. Kisa nimegeuza daftari. Hebu nipeni na nyie wenzangu mliowahi kula mbata toka kwa wadada shule ya msingi.