Hebu tujikumbushe hizi movies enzi zile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu tujikumbushe hizi movies enzi zile

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyabhingi, Jan 22, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 5,361
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

  Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
  andhaa kanoon-amitah bachan
  disco dancer-mithun chackraborty
  kassam paida karne waleki-mithun chakraboorty
  loha-mzee ashanti and others
  tarzan
  amne samne
  missing in action-c.norris
  commando-arnold schwerzenneger


  ongeza nyingine unazojua za kitambo kile

  na ayo majumba ya cinea je??

  cameo
  avalon
  empire
  empress
  drive in-hapa ukipita kwa nje unaona movie yote
   
Loading...