Hebu tujadili hivi vijikaratasi vya polisi(RB)na kauli ya mwanasia machachari Christopher Mtikila.

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Kwanini wasiwe na official document,yenye kutambulika kisheria na kiserikali kuliko kutumia vijikaratasi visivyo na tija yoyote ile.Mtikila alikua na haki kabisa ya kuikataa ile karatasi kwani hata mahakamani au serikalini hakuna anaeweza kusimama na kusema kua hii ni mali ya serikali..kijikaratasi kidogo hakina hata alama yoyote ya serikali yaani hata tiketi ya daladala inaafadhali.jeshi la polisi fanyieni kazi hiyo kauli ya mtikila msiichukulie poa hiyo ni changamoto tosha,huyo mzee mtikila anaakili kuliko mnavyomdhania,ni aibu kwa serikali kua na document isiyokua na muonekano wa utendaji.
 
mkuu umeongea cha maana sana. nadhani ofisa habari wa polisi auntie advela senso huwa anapita humu ataupata ujumbe.
 
Hata mie najiuliza hivi hivyo vikaratasi ni offical document? au kanakuwa kadesa fulani ili uweze kukumbuka RB #!
 
bonge la comment,havna maana vile vijikaratasi.mie nilikwenda kituo flun nikapewa RB kipande cha chin cha gazet.mambo gani haya?atleast there should b an official document ktk vituo vya polisi.
 
Mimi kuna jamaa nlikua namdai akawa ananizingua.

Nikaandika tu vinamba feki kwenye kipande nilichochana kwenye bahasha nikamuibukia nacho.

Mbona alitoa!!
 
RB maana yake ni Report Book!!

Na ile namba ina-represents Report Book Number.

Tukio lolote lilaloripotiwa polisi hua linapewa namba ya utambulisho ambayo ndiyo hiyo Report Book Number.

Kamwe RB haimaanishi "ARREST WARRANT" kama policcm wanavyotudanganya. Mtikila anaijua sheria, na ndipo alipowabania wale jamaa akaweza, hawakua na Arrest Warranty, bali a shit of paper that may truly represents "report book number", but under what justifications??

Mtu anapokufata na hiyo kipande, haiishii tu kua anaweza akakukamata, Bali awe pia na arrest warrant
 
Asante kaka.
 
Back
Top Bottom