dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,698
- 3,083
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue!
Huyu mshkaji ni mwalimu wa chuo Kikuu fulani ana Masters yake nzuri tu! ila ni yanki tu hata 30yrs hana, katika kufundisha fundisha kwake amekutana na wengi wanaomuomba msaada. Wengi anawasaidia bila malipo yoyote akijua ni shida za kibinaadamu,
Sasa anasema amepata kuwa na marafiki wengi (Hasa wanawake na especially wamama) wakiomba msaada na huwa anawasaidia, shida ni kuwa wamama wanamsumbua sana yaani anataka kila kitu afanye yy, akiwauliza hata reserach tittle inakuwa shida!
Kali kuliko yote jana kapigiwa simu na mke wa kiongozi mkubwa pale OUT (ofcourse wanajuana before) anataka amsaidie reserch yake! akamwambia atampa ushauri tu wa jinsi ya kufanya na nn kinahitajika lakini hawezi kumfanyia manake yy mwnyw amebanwa sana! mama wa watu kapanic kaanza kumwambia maneno makali na mwisho anamwambia asimpigie tena simu na yeye (huyo mama) atafuta contacts zake zote so asimtafute!
Jamaa ss anasema, asije akauziwa kesi! manake mama ni mke wa mkubwa serikalini na yy ni bwana mdogo tu!
Kijiweni hapa, watu wanamwambia shida yake ni mpole sana na huwa haombi mechi (za mchangana kwa wamama) wala malipo yoyote! wanamwambia mwanamke ili akuheshimu lazima umtongoze, then kama humtaki akikukubalia unamzingua, ila ukiwa rafiki tu, lazima atakuzingua one day!
hebu nipeni ukweli, manake kama ni hivo nina kazi kubwa ya kufanya!