Hebu tufundane leo......

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,326
18,790
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......


 
Waambie shostito. Ukiwaambia wadau tuzungumze kuhusu sex na kuweka madhaifu

wanaogopa kuonekana wanapenda na hali kweli wanapenda. hii ipo hata kwa wanaume. huwezi kuta mwanaume mzuri

sana anaweza game, wafupi na wenye vifaa vidogo kuna uhakika wa kukufurahisha sabb

wanajua hawavutii basi wana compasati huko kuliko mwanaume mzuri ka mtoto wa kike.

mdada akijiona mzuri anaona kamaliza. anaachwa kila siku alafu anajipa moyo wanaume are

threatened by my beauty and money kumbe wanaogopa K na perfomance ilivo chini ya kiwango.

Boss wangu mnoko Preta, na hivi nimembania K yangu nisijefukuzwa mie. teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
aisee....mimi mshaniharibia siku..
kuna mambo huwa napigana nayo kuyafuta katika moyo wangu...
ni memory mbaya sana natamani kuidelete.....
naona kwa leo nisign tu out....

Smile unachanganikiwa nini hali wewe Bikra? au RR kishabariki?
 
Last edited by a moderator:
duh, mwageni madesa
nina kalamu na karatasi nachukua notisi.

Practical tunaenda kufanyia wapi? Nataka kuchagua wa kufanya naye.
 
duh, mwageni madesa
nina kalamu na karatasi nachukua notisi.

Practical tunaenda kufanyia wapi? Nataka kuchagua wa kufanya naye.
Kongosho wa kufanya naye practical si huyo alie mbele yako akitimiza kampeni ya kupunguza breast cancer.
 
Last edited by a moderator:
Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya

Not all....Luckily for some of us, we are blessed :biggrin:

BTW somo zuri sana haswa kuhusu kiuno, na ukweli kiuno kila kikizunguka kwa speed kali, mwanaume lazima akifate kinavyo taka kwenda :poa
 
sa preta we ni mbaya au mzuri kivyote...kitandani na kimaumbo ili nijue kama theory yako inaendana
 
aisee....mimi mshaniharibia siku..
kuna mambo huwa napigana nayo kuyafuta katika moyo wangu...
ni memory mbaya sana natamani kuidelete.....
naona kwa leo nisign tu out....
@Smile...sign out babe....here i come...
Smile unachanganikiwa nini hali wewe Bikra? au RR kishabariki?
:shock:
Haya Preta mama.....Sie wachagga hatujui bwana. Ukimaliza unifunike baba Aika.
:shock::shock::shock: then :shock::shock:
 

Similar Discussions

44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom