Hebu tuelimishane kuhusu hili.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu tuelimishane kuhusu hili..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Konya, Dec 6, 2011.

 1. K

  Konya JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  1.1 Hivi chama cha siasa kuwa cha mrengo wa kushoto au kulia tafsiri yake ni nini hasa? 1.2 kuna uhusiano gani sasa na mifumo hii ubeberu,ubepari na kijamii(na hiyo mirengo tajwa)? 1.3 na nini hasa nia na malengo ya kuwa kushoto au kulia na maendeleo ya nchi husika kwa ujumla,hasa kwa zile nchi ambazo zina vyama vya namna hii..kwa wale wataalam wa siasa naomba kufahamishwa...nawakilisha
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kushoto ni ma socialist na kulia ni macapitalist.Huko kushoto na kulia pia kuna ma extrems,ma radical
   
Loading...