Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Nafikiri huko kwenu ndiko walikojaa WAPUMBAVU coz huwa mmapangiwa nini mfikiri na kuhoji. Hakuna nilipoelezea kuwa ilitakiwa afe lkn nahoji idadi ya risasi tena bunduki ya kivita. Shida yenu ni kwamba huwa hampend kureason lolote mtakalo ambiwa na lisu,Mbowe au think tank yyt mliyemchagua afikir kwa ajili yenu.Ni muuaji wa aina gani huyu wa kutumia bunduki ya kivita na akamwaga risasi 38?Tuseme zilimpata risasi 16.Tukubali, inawezekanaje risasi 16 ziingie mwilini ma bado ubaki na faham hadi unafikishwa hospital ndio faham ipotee?Mbaya zaid kuna risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord lkn jamaa anadai bado alikua timamu tu.Hivi huko ufipa huwa mnajaribu hata kureason lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
What are you trying to insinuate? Kumbuka pale ni karibu na makazi ya watu wakubwa na panalindwa, ile cctv kamera kwanini haipo si ingemaliza utata. Kwa hili haitaji upeo mkubwa wa kufikiri kuwa nani yupo behind hii attempt. Ni ujuha tu na ni jambo la kukemewa sababu kama ingekuwa ni wao wenyewe aisee ni rahisi sana kuwakamata hao watu ili waibike. Na dodoma ni rahisi sana kukamatwa ukifanya tukio kama lile barabara za kutokea zilitakiwa zifungwe tu. Acha niishie hapa, Mungu hakutaka iwe vile walivyotaka thats all i can say.
 
Wewe great thinker, tuambie idadi ya risasi, ili tuondokane na mtazamo potofu wa risasi 38!
Kuna kitu kinaitwa Appeal to ignorance Fallacy. Kutojua idadi kamili ya risasi alizopigwa kamwe hauwez kuwa mwanya kwa mtu yyt kujitajia idadi ya risasi anazojisikia bila kuzingatia facts.Nyinyi mnafanya Fallacy(Appeal to Authority)Kisa Mbowe na lisu wamesema na hao ndio think tank wenu so hakuna kuhoji.Tokeni nje ya box muone ambavyo sio rahisi kupigwa Risasi 38 na ukabaki salama. Wangesema tatu au mbili au tano sawa.Lkn kuwaaminisha watu risasi 38 tena za kivita huu ni UPUMBAVU. Kwa navyojua hili tukio lingekuwa halisi tayari lingeingizwa kwenye records za Dunia. NARUDIA SIO RAHISI KUPIGWA RISASI 38 NA UBAKI MZIMA.HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What are you trying to insinuate? Kumbuka pale ni karibu na makazi ya watu wakubwa na panalindwa, ile cctv kamera kwanini haipo si ingemaliza utata. Kwa hili haitaji upeo mkubwa wa kufikiri kuwa nani yupo behind hii attempt. Ni ujuha tu na ni jambo la kukemewa sababu kama ingekuwa ni wao wenyewe aisee ni rahisi sana kuwakamata hao watu ili waibike. Na dodoma ni rahisi sana kukamatwa ukifanya tukio kama lile barabara za kutokea zilitakiwa zifungwe tu. Acha niishie hapa, Mungu hakutaka iwe vile walivyotaka thats all i can say.
Mimi sihoji habar za nani kahusika na nani katoa cctv,Hoja iko kwenye idadi ya risasi. Hicho kitu hakipo hata kidogo. Mnakimbilia kusema miujiza ya Mungu na propaganda kibao.Hakuna binadamu wa kushambuliwa kiasi kile akasurvive. Shida ni kuongeza vitu ambavyo kama unaakili timamu unaona haviwezekani. Unaamini siraha ya kivita imwage risasi 38 na ishindwe kuua mtu?Kwamba walikua wanapiga hewani au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa Appeal to ignorance Fallacy. Kutojua idadi kamili ya risasi alizopigwa kamwe hauwez kuwa mwanya kwa mtu yyt kujitajia idadi ya risasi anazojisikia bila kuzingatia facts.Nyinyi mnafanya Fallacy(Appeal to Authority)Kisa Mbowe na lisu wamesema na hao ndio think tank wenu so hakuna kuhoji.Tokeni nje ya box muone ambavyo sio rahisi kupigwa Risasi 38 na ukabaki salama. Wangesema tatu au mbili au tano sawa.Lkn kuwaaminisha watu risasi 38 tena za kivita huu ni UPUMBAVU. Kwa navyojua hili tukio lingekuwa halisi tayari lingeingizwa kwenye records za Dunia. NARUDIA SIO RAHISI KUPIGWA RISASI 38 NA UBAKI MZIMA.HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
We unataka kusema lile gari lilikuwa na matundu kabla ya kushambuliwa, mbona mnajifanya machizi muda huu au kwa vile myda umeshspita tokea tukio litokee, zinaweza zisiwe 38 kwa idadi ila haifichi ukweli zilizoingia mwilini mwake ni nyingi. Na uzur hazikugusa vital organs n that is miracle my friend. Hata kama unamchukia victim ila inabidi ujue kuwa alichotendewa sio halali hakiendani na uzalendo wake kwa hili taifa.
 
Brother naona unapenda ligi, amini unacho amini.
 
Nafikiri huko kwenu ndiko walikojaa WAPUMBAVU coz huwa mmapangiwa nini mfikiri na kuhoji. Hakuna nilipoelezea kuwa ilitakiwa afe lkn nahoji idadi ya risasi tena bunduki ya kivita. Shida yenu ni kwamba huwa hampend kureason lolote mtakalo ambiwa na lisu,Mbowe au think tank yyt mliyemchagua afikir kwa ajili yenu.Ni muuaji wa aina gani huyu wa kutumia bunduki ya kivita na akamwaga risasi 38?Tuseme zilimpata risasi 16.Tukubali, inawezekanaje risasi 16 ziingie mwilini ma bado ubaki na faham hadi unafikishwa hospital ndio faham ipotee?Mbaya zaid kuna risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord lkn jamaa anadai bado alikua timamu tu.Hivi huko ufipa huwa mnajaribu hata kureason lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wewe unaamini kuwa Lisu alishambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi?
 
We unataka kusema lile gari lilikuwa na matundu kabla ya kushambuliwa, mbona mnajifanya machizi muda huu au kwa vile myda umeshspita tokea tukio litokee, zinaweza zisiwe 38 kwa idadi ila haifichi ukweli zilizoingia mwilini mwake ni nyingi. Na uzur hazikugusa vital organs n that is miracle my friend. Hata kama unamchukia victim ila inabidi ujue kuwa alichotendewa sio halali hakiendani na uzalendo wake kwa hili taifa.
Matundu 38?Hivi wewe ushawah kaa na kufanya imagination ya tukio lenyewe?Au humo kichwani no imagination skills ya kitu chochote unachoambiwa?Ngoja nipime uelewa wako,ebu njoo na maelezo kidogo kuonesha inawezekana siraha ya kivita ikaishia kutoboa gari na kumparasa lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, wewe unaamini kuwa Lisu alishambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi?
Naamini ndio lkn sio kwa kiwango hiki mnachokielezea. We unaamini risasi 38 toka siraha ya kivita ingeshindwa kutoa uhai wa lisu kwa sababu za eti dereva alimlaza chini?Kwamba huyo mdunguaji alikua anajifyatulia tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa Appeal to ignorance Fallacy. Kutojua idadi kamili ya risasi alizopigwa kamwe hauwez kuwa mwanya kwa mtu yyt kujitajia idadi ya risasi anazojisikia bila kuzingatia facts.Nyinyi mnafanya Fallacy(Appeal to Authority)Kisa Mbowe na lisu wamesema na hao ndio think tank wenu so hakuna kuhoji.Tokeni nje ya box muone ambavyo sio rahisi kupigwa Risasi 38 na ukabaki salama. Wangesema tatu au mbili au tano sawa.Lkn kuwaaminisha watu risasi 38 tena za kivita huu ni UPUMBAVU. Kwa navyojua hili tukio lingekuwa halisi tayari lingeingizwa kwenye records za Dunia. NARUDIA SIO RAHISI KUPIGWA RISASI 38 NA UBAKI MZIMA.HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mjione jinsi gani ninyi ni WAPUMBAVU......
Mnapotaka kutoa uhai wa binadamu mkisahau kwamba mwenye mamlaka hayo ni Mungu.
 
Nafikiri huko kwenu ndiko walikojaa WAPUMBAVU coz huwa mmapangiwa nini mfikiri na kuhoji. Hakuna nilipoelezea kuwa ilitakiwa afe lkn nahoji idadi ya risasi tena bunduki ya kivita. Shida yenu ni kwamba huwa hampend kureason lolote mtakalo ambiwa na lisu,Mbowe au think tank yyt mliyemchagua afikir kwa ajili yenu.Ni muuaji wa aina gani huyu wa kutumia bunduki ya kivita na akamwaga risasi 38?Tuseme zilimpata risasi 16.Tukubali, inawezekanaje risasi 16 ziingie mwilini ma bado ubaki na faham hadi unafikishwa hospital ndio faham ipotee?Mbaya zaid kuna risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord lkn jamaa anadai bado alikua timamu tu.Hivi huko ufipa huwa mnajaribu hata kureason lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hunaa akilii baba etiii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini ndio lkn sio kwa kiwango hiki mnachokielezea. We unaamini risasi 38 toka siraha ya kivita ingeshindwa kutoa uhai wa lisu kwa sababu za eti dereva alimlaza chini?Kwamba huyo mdunguaji alikua anajifyatulia tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matibabu yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa sio ya siri, mwanzo kabisa madaktari wetu ndio walianza nae na ndio walio mrufaa.Spika akawatangazia wabunge lililo mpata mbunge mwenzao na idadi ya risasi zilizo mjeruhi.Rais wetu akatuma salamu za pole kwa huruma kabisa, na kuviamuru vyombo vya usalama kuwasaka watuhumiwa.
Kama Chadema/Lissu ametengeneza tukio, vipi madaktari wa Dodoma, Spika na Rais wetu?!! Maana yake waliingizwa chaka. Na nani?
Siasa zisiongoze akili zetu, siasa zimetukuta tunaishi kwa upendo, tukiwa tunashirikiana koo na koo, kijiji na kijiji kingine... Kama Lissu amepona, ni Mungu ameamua kujidhihirisha ukuu wake kupitia yeye.
 
Back
Top Bottom