Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

....kwa njia hiyo utakuwa kwenye nafasi nzr kufahamu dosari iko wapi..si hivyo walivyofanya, kama ni muungwana huyo prof. hata hiyo kazi alipaswa aache! huwezi kutoa ushauri dhaifu namna hii.
ha ha ha! wa kupima mafenesi kwa vifaa vya binadamu!
 
Mkuu unataka kunambia kuwa hawa wanasayansi maelezo waliyo yatoa kuhusiana na utendaji kazi wa hivi vifaa wametudanganya??
Kuna uzi humu JF wa Dr Mwele,umeona maelezo yake mafupi?
 
Umeambiwa wanapima DNA?Yaani unataka sampuki ije waanze kuhangaika kupima DNA ili wajue kama ni sampuli ya binadamu au mnyama?Sio sawa!Nadhani ilipaswa timu ya Rais kupeleka sampuli za binadamu!Walipaswa labda kupeleka sampuli za mtu mmoja ila kwa majina 10 tofauti ili kuona katika sampuli hizo kumi za mtu huyo huyo mmoja zitaleta majibu ya namna gani!

Unapochukua sampuli za wanyama na mimea,huwezi ukajua wana virus gani na hureact vipi pindi sampuli zao zinapoingizwa kwenye mashine za kupimia Covid 19!Usahihi nadhani ungekuwepo kama tungepeleka known specimen ya binadamu na kuchanganya vitu!

Pia nimlaumu Rais kwa kukimbilia kutoa shutuma kuwa anahujumiwa na Mabeberu kwa kushirikiana na wataalamu wa maabara ya taifa!Vp kama uchunguzi utakuja na majibu tofauti?

Atatoka hadharani kuomba radhi kama alivyotoka kushutumu?Kwanini asingesubiri awe na uhakika kwanza ndio aongee?
Mkuu usitevemee kupata majibu yatakayokwenda kinyume na Bwana Yule. Yaani akupe posho usafiri na ahadi ya kupandishwa vyeo uje eti na uchunguzi wenye mtizamo tofauti??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
FB_IMG_15887785827744689.jpg
 
Ni wazi kwamba ndani serikali ya JPM hakuna mashirikiano, wakati vipimo vinaendelea kulikuwa gape kama serikali wamehisi kuna sintofahamu walipaswa kutuma team ya wataalam kwenda kwenye hii maabara kujua kile wanachokiita aidha mashine feki ama uongozi wa maabara unavyokosea ugunduzi wa kuleta majibu, na hili lingefanyika pasina watanzania kujua kama yawezekana kuna weakness kwenye hii maabara ambapo saiv kuna mkanganyiko mkubwa na taharuki.

Jengine ni kwanini Rais amepeleka sample za nanasi, fenesi sjui papai kwenye mashine ya kupimia Covid-19? Kwann asingetumis sampili za binadamu tofauti tofauti? na kuzirejea hizo kwa hizo kwa majina tofauti? Huwezi kupeleka mafenes halafu ukaja kujenga hoja kama alizojenga sababu kubwa ni ile mashine je kwa mtazamo wa kawaida imetengebezwa kwa kugundua vitu ambavyo havitokani na mwadamu? Nadhan hapa chochote kinaweza kutokea kwenye majibu ni uncertain

Mimi namlaumu sana, wakati anasema aliyoyasema kwanini hakutoa way forward kwasabab amekuja kueleza yale kuna watu washatoka kwenye vipimo na zoezi linaendelea Labda lipo katikati sasa je hawa waliokwishakupewa majibu wafanywe nini? waachiwe warudi majumbani mwao kwa wale walio positive kwa vile mashine ilikuwa feki lakini je wale tulioambiwa wamepoa tuwarudishe kwa vipimo labda sample zao zipelekw nchi nyengine kwa vile Tz mashine ni za mabeberu hazina viwango ama vipi? Laki baya zaidi sasa kuna wiki 2 hakuna update yeyote kuhusu covid 19 Tz, je watu wafahamu ugonjwa wa corona hamna tena Tz, ama kama ipo ni kwa kiwango gani ili wananchi wajitathmini kwa tahadhari?

Tarehe 13 ile kamati ndio itatoa majibu, je wakileta majibu mashine ni feki ambayo si feki itafika lini kutoka wapi na itahakikishwa kwa muda gani? Kipindi hicho chote wagonjwa wa covid nchini watatambulika vipi?

Amesema wananchi wachuke tahadhari kwani ugonjwa je upo nchini? Walijuaje maana mashine ni feki ama wapimaji maabara hawana ufanisi walitoa majibu ya possitive mengi ilhali yawezekana wote ni negstive, kwanini vyuo na wanafunzi wasirudi mashuleni, kwa vili ligi itarudi soon.

Ukweli ni kwamba kunaibuka maswali mengi sana kwenye ile hutuba
 
Wewe kama una hoja tofauti na zilizo tolewa lete hoja yako hapa tuijibu mkuu na si porojo kama unavyotaka.
Yeye kafanya uchunguzi wake na kaeleza shaka aliyo nayo juu ya vipimo na wataalam ndio mana kaitisha tume yya uchunguzi, hao wataalam nao wakaja na hoja zao kumpinga lakini bado zinaleta ukakasi kama nilivyo eleza hapo kwenye mada.

Sasa kama wewe una utetezi mwingine wa hizo hoja ama hoja mpya ilete hapa tuijadili.
Kipi bora, kuacha kutoa hukumu ili tume iwe huru au kutoa hukumu na kisha kuunda tume? Kwani yale majibu aliyokuwa nayo asiyahifadhi kwanza, halafu aunde tume kisha aje alinganishe majibu ya mapapai na majibu ya tume ndipo apate jibu halisi na hapo ndio atoke hadharani kubwabwaja.
 
Ni wazi kwamba ndani serikali ya JPM hakuna mashirikiano, wakati vipimo vinaendelea kulikuwa gape kama serikali wamehisi kuna sintofahamu walipaswa kutuma team ya wataalam kwenda kwenye hii maabara kujua kile wanachokiita aidha mashine feki ama uongozi wa maabara unavyokosea ugunduzi wa kuleta majibu, na hili lingefanyika pasina watanzania kujua kama yawezekana kuna weakness kwenye hii maabara ambapo saiv kuna mkanganyiko mkubwa na taharuki.

Jengine ni kwanini Rais amepeleka sample za nanasi, fenesi sjui papai kwenye mashine ya kupimia Covid-19? Kwann asingetumis sampili za binadamu tofauti tofauti? na kuzirejea hizo kwa hizo kwa majina tofauti? Huwezi kupeleka mafenes halafu ukaja kujenga hoja kama alizojenga sababu kubwa ni ile mashine je kwa mtazamo wa kawaida imetengebezwa kwa kugundua vitu ambavyo havitokani na mwadamu? Nadhan hapa chochote kinaweza kutokea kwenye majibu ni uncertain

Mimi namlaumu sana, wakati anasema aliyoyasema kwanini hakutoa way forward kwasabab amekuja kueleza yale kuna watu washatoka kwenye vipimo na zoezi linaendelea Labda lipo katikati sasa je hawa waliokwishakupewa majibu wafanywe nini? waachiwe warudi majumbani mwao kwa wale walio positive kwa vile mashine ilikuwa feki lakini je wale tulioambiwa wamepoa tuwarudishe kwa vipimo labda sample zao zipelekw nchi nyengine kwa vile Tz mashine ni za mabeberu hazina viwango ama vipi? Laki baya zaidi sasa kuna wiki 2 hakuna update yeyote kuhusu covid 19 Tz, je watu wafahamu ugonjwa wa corona hamna tena Tz, ama kama ipo ni kwa kiwango gani ili wananchi wajitathmini kwa tahadhari?

Tarehe 13 ile kamati ndio itatoa majibu, je wakileta majibu mashine ni feki ambayo si feki itafika lini kutoka wapi na itahakikishwa kwa muda gani? Kipindi hicho chote wagonjwa wa covid nchini watatambulika vipi?

Amesema wananchi wachuke tahadhari kwani ugonjwa je upo nchini? Walijuaje maana mashine ni feki ama wapimaji maabara hawana ufanisi walitoa majibu ya possitive mengi ilhali yawezekana wote ni negstive, kwanini vyuo na wanafunzi wasirudi mashuleni, kwa vili ligi itarudi soon.

Ukweli ni kwamba kunaibuka maswali mengi sana kwenye ile hutuba
Nayo ile unaiita hotuba? Kwani huzijui hotuba? Hivi kufoka nako siku hizi ni hotuba?
 
Hawa kuwa disproove ni rahisi sana

Unamuambia twende mguu kwa mguu shambani kwangu huku camera zikichukua kila tukio halafu nichukue sample kisha nizipime then tuone kama kweli kila papai lina corona
Naamini upo mkuu.
 
Hahahahahhh

Mkuu ni aibu, dharau na dhihaka sana kukosolewa na mwanasiasa ambaye hana elimu uliyonayo. Mtu umekaa miaka 7 unasomea taaluma fulani halafu leo hii unadhalalishwa unakaa kimya?

Kama alichofanya mwanasiasa ni uongo basi hao wanasiasa waje na findings zitakazosheheni ukweli mtupu.
Umeona sasa ni nani anastahili kukosolewa hapo?
 
Wewe umesomea wapi utaalamu wa maabara? Unatoa hukumu halafu unasema unaunda tume, ya nini wakati umeshatoa hukumu? Nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na tamko la mzee?
Wewe ni mtaalam wa maabara!
 
Unachekesha sana mkuu,yaani unaniletea mfano wa simu kweli?Mambo magumu unatumia mfano mwepesi namna hiyo?Nimesema kutest ubora wa kifaa huwa zinapelekwa known specimen!Ndio maana nikasema ilipaswa zipelekwe sampuli tofauti ambazo zinajulikana matokeo yake ili kubaini accuracy ya vifaa!Sasa hizo sampuli zilizoenda si za binadamu,suala la kubaini kwanini zimeleta matokeo hayo inahitaji uchunguzi!Maana huwezi jua huenda zina element ambazo zinaleta matokeo sawa na za Covid 19!Kujua competence ya vifaa ilihitajika sampuli ambazo kifaa kimekuwa designed kupima!Hata waliotengeneza hizo machine lazima walitest kwa sampuli za binadamu na sio za wanyama na mapapai!Tuweni objective,yaani unajua ni process gani inapitiwa kujua sampuli ni ya kitu gani?Unataka sampuli zikienda,maabara waanze kupima DNA ili kujua ni sampuli za binadamu halafu ndio waanze kupima Corona?Kweli tuna hiyo luxury?Unajua itachukua muda gani kama kila sampuli inayofika ikianza kupimwa DNA?Kwa wale ambao wameshawahi kufanya vipimo vya DN! wanajua huwa inachukua muda gani!Halafu tupime DNA halafu tukishagundua ni za binadamu au sio binadamu inatusaidia nini?Maana tupo kwenye janga la Corona so sioni mantiki ya kupima DNA walati tunajua sampuli zinazokwenda huko ni za binadamu na tunataka kutest Corona!Tuache hizi siasa nyepesi kwenye mambo ya kitaaluma!Ningekubaliana na JPM kama angetuma known specimen za binadamu majibu yakawa tofauti!Ukifikiri kwa kina utaelewa hoja yangu!Weka mahaba pembeni na kuwa reallistic!
Tungewafata watu kama nyinyi sasahivi tungekuwa kwenye majuto makubwa.
 
Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu.

Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini.

Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea maelezo.

1 vipimo ni Specific kwaajili ya kupima virus ama bacteria, hivyo huwezi kupima sample tofauti DNA/RNA hivyo basi hakiwezi kupima papai, lazima kitaleta majibu tofauti.!!

Hoja hii haina mashoka kama ni hivo kwa nini vipimo hivi vimetoa majibu ya positive na negative wakati sample sio sahihi??

Je wataalam wetu walijaribu kuvifanyia uchunguzi wowote hivi vifaa pindi vilipokaja kabla hawajaanza kuvitumia??
Kama hawakufanya kwanini waliviamini moja kwa moja, taaluma yao iko wapi hapi??

2 wataalam wengine wakaja na hoja kuwa majibu yanaweza kuwa positive kwasababu sample zinaweza kuwa zinamaambukizi (Contaminated) ama wakati wa kuchukua sample ama wakati wa upimaji hivyo kipimo kitatoa majibu Positive.!!

Okay.
Sasa kama ni hivi hamuoni hapo kuna uwezekano kuna watu ambao ni negative hawana maambukizi Ila kwasababu ya uzembe/ makosa wakati wa kuchukua sample ama uzembe wakati wa upimaji wakaiambukiza hiyo sample na kumpa mtu majibu ya positive kumbe Hana maambukizi?? Mtu unapewa ugonjwa ilihali huumwi.

Alafu hivi kama hiyo sample sio sahihi na imetoa positive kwasababu ipo Contaminated mbona sample za nanasi na kondoo zimetoa majibu negative??
Kwanini iwe negative wakati sample sio sahihi na haipo contaminated??

Hili limekaaje sasa wataalam? Inamaana kama inangekuwa haipo contaminated si ingetoa majibu kuwa haitambuliki (sample sio sahihi) kwanini Sasa ikatoa negative??

Halafu Inamaana team ya watafiti wa Rais hawakuwa na uelewa kabisaa kiasi kwamba wakazichukua sample tu ovyo ovyo bila ya umakini wowote na kuzipeleka tu zikapimwe hadi zinapata maambukizi??
Siamini kama ni wajinga kiasi hiki.

3 Wengine wanasema kuwa mh anawadharau wataalam, hana shukurani,anadanganya umma, anataka kuficha wagonjwa n.k.

Hii hoja haina mashiko.

Inakuwaje madaktari na wataalam wabobezi kabisa kwenye utafiti na vipimo unaletewa sample ya papai na fenesi unaambia ni ya binadamu halafu unakubali na kwenda kuipima??

Hii inatoa picha kuwa wataalam wetu wanalipua lipua tu na hawako makini na kazi yao, kama wako makini hili linawezekanaje??

Hamuoni hapa kunatakiwa kufanyaka uchunguzi wa kina kama Rais alivyotilia shaka??

Kumbe sample zinakuwa contaminated hapo hapo maabara na kutupa majibu ya positive kwanini waachwe Sasa??.

Watanzania wenzangu Mimi kwa maoni yangu mh Rais anahoja ya msingi sana tusimpuuze, hawa wataalam wetu ndio wanatudanganya mh Rais yuko sahihi..

Kuna sehemu haiko sawa katika hili.

Kama una majibu ya maswali hayo uje hapa ulete ufafanuzi.
Kichekesbo! Wewe una hakika gani kuwa alipeleka vipimo huko maabara au alikuwa anataka tu kuwafanya watu wa kawaida kuamini kuwa hakuna corona na wataalamu wasiaminiwe? Ukiwa rais wa nchi masikini, huna fedha, hospitali ni chache, wataalamu wa afya ni wachache na waoga wa corona, hujafanya maandalizi, utafanya kama rais wetu, yaani unahamasisha wananchi wasiende hospitali, watakaogua au kufa wawe hivyo kifichoni majumbani, na mwisho wa siku uombe Mungu wananchi wengi wapate kinga ya jumla. Not nice but effective.
 
Back
Top Bottom